Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,343
- 217,377
Mwenyekiti wa Bawacha Temeke, Neema Mwakipesile anadaiwa kuchukuliwa na Polisi usiku wa manane kwa kinachodaiwa tuhuma za kufika ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe akishirikiana na akina mama wengine wa CHADEMA.
Bado haijafahamika kama ataunganishwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe au la.
Bado haijafahamika kama ataunganishwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe au la.