Baadhi ya Viongozi wa BAWACHA waliofika Ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe waanza kukamatwa

Vyombo vya dola au vyombo vya majizi ya kura? Ni wendawazimu kutii mamlaka iliyo madarakani kwa wizi wa kura, huku ikikupora haki yako ya kukusanyika.
Haya malalamiko yameanza 1995, 26 years now, ni kulalamika kila siku, nini kinafanyika zaidi ya malalamiko na kuswekwa rumande kwa miaka 26?
 
Mimi huwa najiulizaga sana,Jamii forum huwa wanatumia vigezo gani ku-verify user wake manake verified users wanaandikaga vitu vya ajabu ajabu mpaka unajikuta unaanza kuwazia mental state ya muhusika ipoje kiujumla
Na wewe kadai wakupe uverified
 
Mwenyekiti wa Bawacha Temeke , Neema Mwakipesile anadaiwa kuchukuliwa na Polisi usiku wa manane, kwa kinachodaiwa tuhuma za kufika ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe akishirikiana na akina mama wengine wa Chadema .

Bado haijafahamika kama ataunganishwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe au La

View attachment 1872428
Mungu anatuona na atatujibia tu
 
Habari uliyoileta imetawaliwa na neno "Anadaiwa" kuchukuliwa na Polisi.

Swali langu ambalo nataka unifahamishe ni kua huyu anayedai kua mtu huyo kuchukuliwa na polisi ni nani? Coz inaonekana huyo "anayedai" kutokea kwa tukio hilo ndiye source ya hii habari.,

Ifahamike kwamba nimeuliza ili kuelewa na sio kiushabiki wa kisiasa.
 
Tofautisha kwenda kumpokea mtu na maandamano.

Mara nyingi mashabiki wa mpira wameenda JKNIA kupokea wachezaji wao na siyo tatizo kwakua hayo siyo maandamano.

Maandamano ni mkusanyiko unaofanywa ili kufikisha ujumbe. Kuandamana ni miongoni mwa haki za kizazi cha kwanza cha haki za binadamu hivyo imehakikishiwa kikatiba.

Lakini ikatokea watu tunaandamana kila siku hilo litakua tatizo ndiyo maana serikali nyingi hubuni clawback clause ya kutunga sheria ambazo zitafanya kuexercise hii haki kuwe kugumu mfano ili uandamane unahitaji kibali, inamaanisha kwamba kibali kisipotoka na ukaandamana utahesabiwa umevunja sheria.
Ninavyojua mimi ni kuwa unatakiwa kutoa taarifa na sio kuomba kibali. Hauwezi kuomba kibali kufanya kitu ambacho ni haki yako ya msingi. Nielimishwe kama nimeelewa sivyo.

Amandla....
 
Ninavyojua mimi ni kuwa unatakiwa kutoa taarifa na sio kuomba kibali. Hauwezi kuomba kibali kufanya kitu ambacho ni haki yako ya msingi. Nielimishwe kama nimeelewa sivyo.

Amandla....
Ni kibali.

Unaweza kukataliwa au kukubaliwa ukishapeleka hilo swala la kutaka kuandamana.

Haki ya msingi huzuiwa na haki ya mtu mwingine ya msingi au na sheria. Ni haki yako kufanya maamuzi juu ya mwili wako lakini sheria ya Tz inakataza abortion so ingawa ni haki yako ila sheria imekugomea.
 
Mnaomba katiba mpya ilihali iliyopo hamjaisoma na kuielewa,Sasa hilo ni swali la kuuliza mbele ya watu wanaojielewa?

Haya thibitisha kwamba yale mapokezi ya zuchu,hayakuwa na kibali.
Mbona haueleweki? Mara hayakuwa maandamano kwa hiyo hayahitaji kibali. Sasa unataka uthibitisho kuwa hayakuwa na kibali! Watakuaje na kibali kwenye kitu mbacho hakihitaji kibali?

Na mwisho, uthibitisho ni wewe kutoa kibali sio wanaokutuhumu wathibitishe huna kibali.

Amandla...
 
Mwenyekiti wa Bawacha Temeke , Neema Mwakipesile anadaiwa kuchukuliwa na Polisi usiku wa manane, kwa kinachodaiwa tuhuma za kufika ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe akishirikiana na akina mama wengine wa Chadema .

Bado haijafahamika kama ataunganishwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe au La

View attachment 1872428
Mungu ibariki CHADEMA na kuipigania...
 
Mbona wewe ni pumbavu sana? What do you know about taarifa? akili za mbweha!
Basi wewe ni binadamu uliye kamilika na mwerevu,ila pamoja na yote acha upotoshaji, tafutaa taatifa za kitafiti na uje nazi hapa kuthibitisha madai yako.
 
Ni kibali.

Unaweza kukataliwa au kukubaliwa ukishapeleka hilo swala la kutaka kuandamana.

Haki ya msingi huzuiwa na haki ya mtu mwingine ya msingi au na sheria. Ni haki yako kufanya maamuzi juu ya mwili wako lakini sheria ya Tz inakataza abortion so ingawa ni haki yako ila sheria imekugomea.
Hautakiwi kukataliwa kuandama bali unashauriwa uahirishe kwa sababu ambazo unaelezwa. Kwa bahati mbaya sasa imekuwa tamaduni ya kukatalia bila hata kutoa sababu za msingi.

Sidhani kama Katiba yetu inatupa haki ya kujiamulia lolote tutakalo juu ya miili yetu. Ndio maana yule binti Amber Lulu amefungwa kwa kufanya kitu kwa hiari yake. Aidha, hilo la kutoa mimba ni mfano mwingine.

Amandla....
 
Nyie Chadema hebu kachanjweni corona huko, unaenda Ubalozi wa Marekani kudai gaidi aachiwe, umeambiwa Tanzania inatawaliwa na Marekani? Hii ni nchi huru tunaamua mambo yetu wenyewe kulingana na sheria zetu
Unaamua nini kama hata chanjo wanakusaidia ?!.

Wasipolalamika mnasema Mbowe ameachwa peke yake. Wakionyesha mfano mnadai nani kawaruhusu !!
 
Mwenyekiti wa Bawacha Temeke , Neema Mwakipesile anadaiwa kuchukuliwa na Polisi usiku wa manane, kwa kinachodaiwa tuhuma za kufika ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe akishirikiana na akina mama wengine wa CHADEMA.

Bado haijafahamika kama ataunganishwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe au la.

View attachment 1872428
Sad news,CCM is very weak to defend itself!Without POLICE they are weaker than many opposition parties.
 
Wasije wakanza kubaka wake zetu...usiku wa manane ? Why? Kwani mchana huwezi kumkatata raia?

Haya ndiyo mapungufu ya dola iliyoparaganyika.
 
Haya malalamiko yameanza 1995, 26 years now, ni kulalamika kila siku, nini kinafanyika zaidi ya malalamiko na kuswekwa rumande kwa miaka 26?

Weusi wa Afrika kusini chini ya kina Mandela waliteswa zaidi ya miaka 70, nini miaka 26? Na kadiri ccm inavyozidi kupoteza ushawishi ndivyo mabavu, mauaji, kubambikia kesi nk yatakavyozidi. Hiyo ndio process ya kutoka kwenye kuburuzwa na chama kizee chenye itakadi zilizofail za kijamaa. Hakuna jipya lifanywalo na serikali ya majizi ya kura bali ni marudio.
 
Unacheka cheka mtoto wa kiume ushakuwa shog@ nini? Maana unapenda kucheka cheka sana, mtoto wa kiume hacheki hovyo hovyo unless una ushog@ ndani yako, halafu eti mpare, we ni mat@ko.
Chanjo kaileta yule bibi yenu mwenye macho mlegezo mmeanza kufarakana ninyi wenyewe hapo lumumba
Sawa boss
 
Back
Top Bottom