Baadhi ya tweets muhimu sana za Mhe Bernard Membe wakati wa mchakato wa Katiba kuhusu uraia pacha

Ok amevunja sheria gani mpaka sasa....au unaongea kwa hisia tu na kufuata mitandao....tutajie sheria ambayo Dr Magufuli amevunja mpaka leo hii....
Hela ya ndege katoa kwa msingi wa bajeti gani?

Hela ya korosho katoa kwa msingi wa bajeti gani?

Tuanzie hapo.
 
Binafsi namuunga mkono JPM 100% leo na kesho, probably hata tukicheza na kakatiba kidogo aongezewe muda itakuwa poa zaidi cz tumepata mtanzania number 1 mzalendo sana kwa taifa hili! Sema namuomba aongeze juhudi zaidi kukuza uchumi, ajira, na kuiwezesha sector binafsi ikuwe. Membe yeye akalale mbele.
 
Hela ya ndege katoa kwa msingi wa bajeti gani?

Hela ya korosho katoa kwa msingi wa bajeti gani?

Tuanzie hapo.
Pesa ya korosho siyo pesa ya Serikali ni pesa ya Benki ya maendeleo ya Kilimo ndege zimenunuliwa na pesa ya serikali kupitia kwa Rais mwenyewe.Na alitoa tamko kuwa atanunua ndege.niambie sheria ya kumzuia Rais wa Tanzania kutumia pesa ya serikali kwenye maslahi ya Taifa.
 
Sasa mtu ambaye hata hajui tofauti ya Libya, Kuwait na Iraq kwa location atajuaje hayo mengine? ukweli mzee baba ufahamu wake nje ya kukariri ni mfinyu sana na unatia ukakasi. Na yaweza kuwa ndio sababu kubwa ya kugomea kwenda nje.
Kuna siku atatoka pale na wenzake hawataogopa kutupa siri za mtungi
Anajua tofauti ya Chato, Biharamulo na Geita
 
  • Thanks
Reactions: Pep
A

najua tofauti ya Chato, Biharamulo na Geita
Hiyo siyo sababu ya msingi kumbeza mtu sidhani kama hata wewe unakumbuka yote ya Jiografia na Historia uliyofundishwa shule ya msingi au sekondari.Ila kwasababu unamchukia tu utaandika kila jambo lake baya ila yale mazuri hutaandika.
 
Viongozi muwe mna google mambo kabla ya kuongea. Kama yule aliyesema Tanzania ni muungano wa Zanzibar na Zimbabwe au Tanganyika na Zimbabwe
 
Viongozi muwe mna google mambo kabla ya kuongea. Kama yule aliyesema Tanzania ni muungano wa Zanzibar na Zimbabwe au Tanganyika na Zimbabwe
makosa ambayo hata wewe unaweza kukosea tu.....siyo kubeza.
 
Pesa ya korosho siyo pesa ya Serikali ni pesa ya Benki ya maendeleo ya Kilimo ndege zimenunuliwa na pesa ya serikali kupitia kwa Rais mwenyewe.Na alitoa tamko kuwa atanunua ndege.niambie sheria ya kumzuia Rais wa Tanzania kutumia pesa ya serikali kwenye maslahi ya Taifa.
Duh... Basi nimeshindwa mimi Mkuu..
 
Msimuache huyo aisee atawafaa sana wana nzengo wa ufipa..jwanza pesa ya kampeni anayo ile ya ghadafi..anzeni tu kutengeneza tsheti za friends of membe.
Sawa bora huyo kuliko huyu muuaji wa kila anayeonekana anamkosoa
 
Hela ya ndege katoa kwa msingi wa bajeti gani?

Hela ya korosho katoa kwa msingi wa bajeti gani?

Tuanzie hapo.
Na hapo hatujazungumzia upotevu wa 1.5 trillion na kupiga marufuku mikutano ya hadhara kinyume kabisa na katiba ambayo ni sheria mama.
 
Na hapo hatujazungumzia upotevu wa 1.5 trillion na kupiga marufuku mikutano ya hadhara kinyume kabisa na katiba ambayo ni sheria mama.
CCM wamepigwa upofu kwa kiremba cha uzalendo haya yote hawayaoni.. Binafsi nasema ktk awamu zote hakuna awamu inayopiga hela kama hii.
 
Na hapo hatujazungumzia upotevu wa 1.5 trillion na kupiga marufuku mikutano ya hadhara kinyume kabisa na katiba ambayo ni sheria mama.
maelezo kuhusu 1.5 tr yalishatolewa na Naibu Waziri wa fedha Bungeni na kuhusu mikutano hakuna aliyezuiliwa kufanya mikutano baada ya uchaguzi.kinachoelezwa kuwa uchaguzi umekwisha kila Mbunge akafanye mikutano Jimboni kwake mpaka uchaguzi mwingine.Sasa wewe Sugu jimbo lako ni Mbeya mjini unakwenda kufanya mkutano Kigoma mjini kwa ajili ya nini? Tatizo la kila mtanzania ni kuishi kwa mazoea bila kufuata sheria zinasemaje.

Kuna muda wa uchaguzi na kuna wa kufanya kazi baada ya uchaguzi.
 
Binafsi uraia pacha ina negative impact kwa taifa, ndo yale ya kamishna wa tume ya uchaguzi Kenya alikimbia nchi ktk kipindi muhimu sana
 
Binafsi uraia pacha ina negative impact kwa taifa, ndo yale ya kamishna wa tume ya uchaguzi Kenya alikimbia nchi ktk kipindi muhimu sana

Taifa ni hii mipaka ya kikoloni au Taifa maana yake nini?

Taifa lako ni afrika, siyo hii mipaka aliyochora Carl Peters, David Livingstone na mikataba ya Helligoland iliyokufanya uone Malawi, Msumbiji , Uganda na Kenya kama siyo Mataifa yako, kumbe ni Mataifa yako na una haki nayo kwa sababu ni Afrika!
 
Back
Top Bottom