😩😩😂 Nilijua tu,hizi tweets za zamani sio bure kuna mtu anatafutwa.Anaonyesha uwezo kupambanua mambo ktk mtazamo mkubwa, mtu mwenye narrow mind kama JIWE akiulizwa msimamo wake juu ya uraia pacha, angeropoka "hao wameishatusaliti"
Nakubaliana na hizo hoja.
Uraia wa kuzaliwa haipaswi mtu kunyang’anywa kwa sababu ni haki ya mtu ya kuzaliwa nayo.
Hela ya ndege katoa kwa msingi wa bajeti gani?Ok amevunja sheria gani mpaka sasa....au unaongea kwa hisia tu na kufuata mitandao....tutajie sheria ambayo Dr Magufuli amevunja mpaka leo hii....
Pesa ya korosho siyo pesa ya Serikali ni pesa ya Benki ya maendeleo ya Kilimo ndege zimenunuliwa na pesa ya serikali kupitia kwa Rais mwenyewe.Na alitoa tamko kuwa atanunua ndege.niambie sheria ya kumzuia Rais wa Tanzania kutumia pesa ya serikali kwenye maslahi ya Taifa.Hela ya ndege katoa kwa msingi wa bajeti gani?
Hela ya korosho katoa kwa msingi wa bajeti gani?
Tuanzie hapo.
Anajua tofauti ya Chato, Biharamulo na GeitaSasa mtu ambaye hata hajui tofauti ya Libya, Kuwait na Iraq kwa location atajuaje hayo mengine? ukweli mzee baba ufahamu wake nje ya kukariri ni mfinyu sana na unatia ukakasi. Na yaweza kuwa ndio sababu kubwa ya kugomea kwenda nje.
Kuna siku atatoka pale na wenzake hawataogopa kutupa siri za mtungi
Hiyo siyo sababu ya msingi kumbeza mtu sidhani kama hata wewe unakumbuka yote ya Jiografia na Historia uliyofundishwa shule ya msingi au sekondari.Ila kwasababu unamchukia tu utaandika kila jambo lake baya ila yale mazuri hutaandika.A
najua tofauti ya Chato, Biharamulo na Geita
Viongozi muwe mna google mambo kabla ya kuongea. Kama yule aliyesema Tanzania ni muungano wa Zanzibar na Zimbabwe au Tanganyika na ZimbabweHiyo siyo sababu ya msingi kumbeza mtu sidhani kama hata wewe unakumbuka yote ya Jiografia na Historia uliyofundishwa shule ya msingi au sekondari.Ila kwasababu unamchukia tu utaandika kila jambo lake baya ila yale mazuri hutaandika.
Duh... Basi nimeshindwa mimi Mkuu..Pesa ya korosho siyo pesa ya Serikali ni pesa ya Benki ya maendeleo ya Kilimo ndege zimenunuliwa na pesa ya serikali kupitia kwa Rais mwenyewe.Na alitoa tamko kuwa atanunua ndege.niambie sheria ya kumzuia Rais wa Tanzania kutumia pesa ya serikali kwenye maslahi ya Taifa.
Fisadi papa uyoKwani sababu za kumtosa Membe kipindi kile kugombea ilikua nini jamani?? Isije kua kuna kashfa zake hatuzijui.
Exposure ni muhimu mkuumakosa ambayo hata wewe unaweza kukosea tu.....siyo kubeza.
Sawa bora huyo kuliko huyu muuaji wa kila anayeonekana anamkosoaMsimuache huyo aisee atawafaa sana wana nzengo wa ufipa..jwanza pesa ya kampeni anayo ile ya ghadafi..anzeni tu kutengeneza tsheti za friends of membe.
Na hapo hatujazungumzia upotevu wa 1.5 trillion na kupiga marufuku mikutano ya hadhara kinyume kabisa na katiba ambayo ni sheria mama.Hela ya ndege katoa kwa msingi wa bajeti gani?
Hela ya korosho katoa kwa msingi wa bajeti gani?
Tuanzie hapo.
CCM wamepigwa upofu kwa kiremba cha uzalendo haya yote hawayaoni.. Binafsi nasema ktk awamu zote hakuna awamu inayopiga hela kama hii.Na hapo hatujazungumzia upotevu wa 1.5 trillion na kupiga marufuku mikutano ya hadhara kinyume kabisa na katiba ambayo ni sheria mama.
maelezo kuhusu 1.5 tr yalishatolewa na Naibu Waziri wa fedha Bungeni na kuhusu mikutano hakuna aliyezuiliwa kufanya mikutano baada ya uchaguzi.kinachoelezwa kuwa uchaguzi umekwisha kila Mbunge akafanye mikutano Jimboni kwake mpaka uchaguzi mwingine.Sasa wewe Sugu jimbo lako ni Mbeya mjini unakwenda kufanya mkutano Kigoma mjini kwa ajili ya nini? Tatizo la kila mtanzania ni kuishi kwa mazoea bila kufuata sheria zinasemaje.Na hapo hatujazungumzia upotevu wa 1.5 trillion na kupiga marufuku mikutano ya hadhara kinyume kabisa na katiba ambayo ni sheria mama.
Binafsi uraia pacha ina negative impact kwa taifa, ndo yale ya kamishna wa tume ya uchaguzi Kenya alikimbia nchi ktk kipindi muhimu sana