JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,327
- 9,325
- Thread starter
- #41
Akhsante mkuu
Nifanyeje kwa sasa kabla mambo hayaharibika?
Ni vizuri hayo matatizo yanayotokana na hiyo cable yakarekebishwa...
Akhsante mkuu
Nifanyeje kwa sasa kabla mambo hayaharibika?
Dip stick inasema nisibadili ATF kabisa kama naendesha katika mazingira ya kawaida..Inatakiwa kuwa in between max na min. Pia ndio kama nilivosema kuwa baadhi ya gearbox unaangalia ikiwa parking na zingine unaangalia ikiwa Neutral.
Dip stick inasema nisibadili ATF kabisa kama naendesha katika mazingira ya kawaida..
Ila siamini hilo.View attachment 1498234
Naam sawa sawa mkuu taizo linajitokeza ikiwa simama simama nyingiGari kushtuka wakati wa kuondoka ni ishu ya gearbox.
Kwa hiyo tatizo linajitokeza tu ikiwa kusimama simama ni kwingi?
Brevis pia nilikuta hilo swala nikaahirisha badili ATF.Dip stick inasema nisibadili ATF kabisa kama naendesha katika mazingira ya kawaida..
Ila siamini hilo.View attachment 1498234
Naam sawa sawa mkuu taizo linajitokeza ikiwa simama simama nyingi
Brevis pia nilikuta hilo swala nikaahirisha badili atf
Wanachokimaanisha ni ile kumwaga yote kisha uweke mpya! Hicho ndo kilichozuiliwa ila badala yake unatakiwa uongezee tu kiasi kile kilichopungua, pia ieleweke kiwekwe ATF ambayo specific no iko sawa na iliyokuwemo mfano kama ni T-iv basi ujaze hiyo hiyo na sio kuongeza aina nyingine kwa kufanya hivyo gearbox yako itakua na uhai wa kudumu ila ukiweka tofaut na iliyomo basi ujue utaia ndani ya mda mfupiDip stick inasema nisibadili ATF kabisa kama naendesha katika mazingira ya kawaida..
Ila siamini hilo.View attachment 1498234
Wanachokimaanisha ni ile kumwaga yote kisha uweke mpya! Hicho ndo kilichozuiliwa ila badala yake unatakiwa uongezee tu kiasi kile kilichopungua, pia ieleweke kiwekwe ATF ambayo specific no iko sawa na iliyokuwemo mfano kama ni T-iv basi ujaze hiyo hiyo na sio kuongeza aina nyingine kwa kufanya hivyo gearbox yako itakua na uhai wa kudumu ila ukiweka tofaut na iliyomo basi ujue utaia ndani ya mda mfupi
Binafsi nataka niimwage yote niweke ile ya Toyota kabisa halafu niwe nabadili kila baada ya km 20.000.Wanachokimaanisha ni ile kumwaga yote kisha uweke mpya! Hicho ndo kilichozuiliwa ila badala yake unatakiwa uongezee tu kiasi kile kilichopungua, pia ieleweke kiwekwe ATF ambayo specific no iko sawa na iliyokuwemo mfano kama ni T-iv basi ujaze hiyo hiyo na sio kuongeza aina nyingine kwa kufanya hivyo gearbox yako itakua na uhai wa kudumu ila ukiweka tofaut na iliyomo basi ujue utaia ndani ya mda mfupi
Naunga mkono hoja.Kuna tofauti kubwa kati ya manual gearbox na automatic gearbox.
Katika Manual gearbox fluid iliyomo mule ndani ina kazi moja kubwa ambayo ni Lubrication na ndio maana wanatumia Oil ya kawaida.
Katika Automatic gearbox fluid iliyomo mule ndani ina kazi kubwa tatu...
Binafsi nataka niimwage yote niweke ile ya Toyota kabisa halafu niwe nabadili kila baada ya km 20.000.
Watu wengi wanaokumbana na matatizo kwenye Automatic gearbox huishia kubadili gearbox zao. Mfano wa matatizo hayo ni gearbox haitaki kushift gears, inadelay kushift gears, engine kuendelea kuzunguka katika RPM kubwa hata baada ya kukanyaga brake, gearbox kuslip, gearbox kustuck katika Neutral position, Kutopata reverse gear, vibration during gear shifting au mengine yanayofanana na hayo. Lakini je ni kweli kwamba automatic gearbox hazitengenezeki(irrepairable)?....
Maelezo mazuri ila misamiati duh..
Huwa namwaga ATF nikifanya service ya km 3000.Ila kuhusu kumwaga ATF wanasema inategemea na matumizi... Kuna watu wanamwaga ATF kulingana na rangi anayoiona.
Usishangae kumkuta anamwaga kwenye 40,000km au 50, 000km. Na gearbox yake inakuwa poa tu.
Nani aliwambia kila ukifanya service ya engine oil lazima umwage Atf pia? Nadhan mnashauliwa na mafundi kwa sababu tu mnaweka atf ambazo hazina ubora wowote ule na ambazo sio recommendedHuwa namwaga ATF nikifanya service ya km 3000.
Sasa nitamwaga kila baada ya km 15.000.
Niliamua mwenyewe.Nani aliwambia kila ukifanya service ya engine oil lazima umwage Atf pia? Nadhan mnashauliwa na mafundi kwa sababu tu mnaweka atf ambazo hazina ubora wowote ule na ambazo sio recommended
Jitu
Upo vizuri Sana! hii ndio generation ya mafundi tunatakiwa kuwa nayo , watu wa point to point siyo guess works,
Mie Ni mmoja wa watu walikuwa wanaamini kuwa gearbox za automatic hazitengenezeki, nabadili msimamo kwa Uzi huu.
Sent
Na ukaona upo sawa kufanya hivyo mkuu?Niliamua mwenyewe.
Si rahisi fundi kunishauri chochote kuhusu gari yangu.