Kamwene kamwene
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,159
- 2,585
Hongera sana mku umefikisha hiyo 30 mambo kwa kufanya kazi au umekopa..tuanzie hapo kwanza..
Biashara zipo nyingi unaweza kununua mashine za kutengeneza vifungashio hii biashara ni uhakika haaitaji uchawi kwani vifungashio vinajiuza vyewewe havina msimu wala nini,ni kutengeneza na kuuza tu
Tengeneza mabwawa ya samaki hiii unawekeza pesa kwanza baada ya miezi 6 unaanza kuona matunda
Uchuuzi..nunua nafaka weka store unaanza kuuza,hapa unanunua za msimu yani unakwenda na fashion
Fungua depo kubwa ya vinywaji baridi na moto.