Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

BIASHARA: wadau naomba msaada wa kujuzwa na faida, changamoto, wapi mitapata bidhaa ya BIASHARA YA KUUZA JEZI HIZI ZINAZOMWAGWA KARIAKOO SI ORIGINALI
 
ijoz, Hii kitu nakubaliana nayo by all % sema upungufu wa hawa watu huwa kumage hela na kuikuza biashara waliowengi hawawezi yaani kwa kifupi fikra zao zinaishia apo apo japo wachache wao wanaweza kukuza biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UBARIKIWE ASEE NIPO KTK MOJA YA KAMPUNI INAYOJIHUSISHA NA MASWALA YA UDEREVA YANI ELIMU YA USALAMA BARABARANI NA MM NI INSTRUCTOR .... MKUFUNZI.... nimesoma vzur nimeelewa nanimependa mawazo yako ikiwa mm ujuzi wangu ndo huu kutoa elimu naweza nikaanzisha wazo gani lakuniingizia pesa kutokana na UJUZI HUU NLIO NAO plz ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa teacher ilo swali l kuliza Jmani anzisha college ndogo ya udereva ata ukiwa n gari mbili tu inatosha kuwa college
 
Wakuu habari?

Poleni na majukumu. Mimi Nina mtaji Wa ml2 nimekaa nao kwa muda Wa mwez sasa, kila nikiwaza wazo la biashara sipati kabisa na ukizingatia kipindi hichi biashara ni kama zimedorora kiasi,Naombeni mawazo yenu nifanye biashara gani ya ml 2, naogopa kuendelea kukaa nayo hela naweza kuila maana shida nazo haziishi.
 
Salaam.

Natafta eneo la kuweka biashara ya mgahawa...mitaa ya kuanzia posta hadi mwenge. Mwemye idea tafadhali....tuyajenge inbox.
 
Kuajir watu
Duh!
Hii biashara unatakiwa ujipange sana maana ina changamoto kuliko unavyoisikia. Binafsi nilishindwa Kwan mwanzo mnaanza vzur ila cku zinavyoenda dereva anabadilika. Mwisho mnapelekana polisi tu.

Pia, unatakiwa uwe serious na mkataba wako na dereva wako,yaani mkataba uwe wa kikatili, wenye kukufavour ww mwenye mali.. Kidoooogo Unaweza ukawa na ahueni.

Pia katika biashara hii, ukiona kuna dalili za tatzo au ujanja ujanja. Piga chini Fasta huyo dereva, yaan in short usiwe na fair play hata punje.

Mi niliferi Ktk mkataba na ukatili siuwezi.
 
CHASHA FARMING,
Hongera sana kwa kujaribu kuonyesha uhalisia wa atanzania wengi. Watanzania wengi tunatamani sana mitaji mikubwa bila kufanikiwa kuzipata njia sahihi za kupata hiyo mitaji ya juu na mwishowe tunaishia kwenda Benk kukopa. Kukopa sio vibaya Ila ni vizuri zaidi kama utatumia nguvu na maumivu zaidi ili kupata mtaji hivo itakufanya uuheshimu huo mtaji.
 
There is something nimepata from here.. I think kitanisaidia wakati flani.. Asante
 
Salaam,

Ningependa niende kwenye mada moja kwa moja.katika kupambana hapa na pale kutafuta mtaji nimeweza kufikisha kiasi cha milion 30 ambacho natafuta msaada wa mawazo ya biashara ambayo itakuwa inaingiza kuanzia laki moja kwa siku. Tafafhali mwenye wazo lolote naomba tusaidiane.
 
Back
Top Bottom