Lukaku Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 843
- 742
Nmependa sna kuna mambo skuwa nayajua mengi ngoja niweke seat ntausoma baadae√
Mkuu naweza kupata mbolea ya Kuku takriban viroba 200if yes contact me 0745262063
IJOZ na CHASHA mumenifunza kitu kikubwa sanaNami naomba nichangie kidogo...
Mi nafikiri alichoandika mdau Chasha ni cha kweli. Tusianze kulalamikia mitaji kama excuse. Cha msingi ni kuwa na nia thabiti, ambayo kwayo inatoa nguvu kubwa sana. Ukiwa na nia, unaweza kutafuta mtaji through kupiga debe, kufanya vibarua and the like.
Nilijaribu kuongea na rafiki zangu pale Kariakoo, ambao wanauza maji, ambao walinieleza kuwa ukiondoa mtaji, wanaweza kutengeneza ziada ya Tsh. 12,000-13,000, na siku ya biashara mbaya wanatengeneza ziada ya Tsh. 4000 at minimal.
Aidha, wale akina mama wanaouza matunda nao wana make ziada ya kiasi kama hicho,ambapo wao wanachukua matunda kule Temeke Stereo kwa Tsh.50-70 kwa embe moja,lakini kariakoo wanauza kwa Tsh. 250-300, na kwa juhudi zao matunda haya yanaisha.
Niliozungumza nao wananieleza tayari wameshanunua plots (walianza biashara hiyo miaka mi3 iliyopita). Hawa waliongozwa na nia iliyowapa nguvu ya kusonga mbele, japo vipo vikwazo walivyokutana navyo, nawanavyokutana navyo, lakini wanasonga mbele.
Hivyo,nafikiri mtaji mkubwa aliokuwa nao mtu ni mind set,na mtaji mwingine ni kuwa na mahusiano mema na jamii, ambayo kwayo unaweza pata mawazo mengi mazuri, na inawezekana ukaaminika na mtu/watu w/akakupesha mtaji.
Nawasilisha mchango wangu
Dawa yao fanya kile ambacho hakipo kabisa watakuwa hawana ujanja. Ukifanya kile ambcho na wao wanafanya itakuwa ngumu sana.Hiyo namba 6… .. Mimi nimeona fursa nyingi mtaani kwangu, ila tatizo hapa mtaani kuna uswahili mnoooo…. Hawanaga tabia ya kupenda kuungishana, wana roho mbaya ajabu,… mtu yuko tayari akanunue biashara Mtaa wa 7 lakini sio kwako,… nlipohamia mtaani wenyeji waliniambia hayo yote nikapinga,… nikafungua saloon ya kike na kiume, aah wapi… akaja mpemba na roho yake ya paka, akachemka…. Sasa watu hawa unatumia mbinu gani kuwawin
MadiniAisee mimi ni Kaka, Ok, ni kweli tuko hapa kusaidiana, Ila kiukweli inatakiwa watu wabadilike, kusoma thread kama hizi nakuishia kusifia haisaidii chochote, unatakiwa kuchukua maamuzi magumu kabisa, mimi naamini watu waote wano pita/kuingiaknye hili jukwaa ni wale wenye nia au tiyari ni wajasirimali