Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

Habari wana JamiiForums

Naombeni ushauri wa mawazo na ushauri wenu mm nina mtaji wa mil 3 nataka kufanya biashara ya juice ya miwa lakini nataka niiweke kwenye fremu je italipa naombeni ushauri wenu !kingine mashine nitazipata wapi ?na pia nahitaji disposable glass ntazipata wapi?asanten naiman mtanisaidi ndugu zangu.
 
"ahsante, huwezi amini nimekaa hapa ofisini tangu asubuhi na google jinsi tu yakujua kulima uyoga hili ndio wazo langu kwa leo"

Sijajua kama umeniiga au nimekuiga!!
 
Unaweza kuwa sahihi, shida yangu ni pale unapotafuta mtaji kwa kupiga debe au kibarua cha kufyeka, malipo ya kazi hizo ni madogo sana, sasa ukiondoa matumizi yako ya lazima sijui unabaki na nini kwa ajili ya mtaji. Na hapo hatujazungumzia mtu mwenye familia.
Ninachokiona hapo, kama ni ki`gang`anizi sana basi utafauru kujitengenezea mtaji wa kuuza 'peremende' tu.

Historia haiishiwi wino.
Lakini ni bora ukafanye upewe kidogo, kuliko kubaki unasubiri mtaji ambao bado hujui utaupata lini
 
Mama Joe na Chasha, nimeipenda hii. Tunapaswa kubadilika ila naamini haya mabadiliko yatachuku muda kupatikana. Tayari mfumo wa maisha umesha waadhiri watanzania wengi. TUTASHINDA
Tukidhamilia, tunaweza, cha msingi ni utayari wa mtu mmoja mmoja kuanza mwishowe tutaona kwamba wale wengi walioathiliwa na mfumo wamepungua na kubadilika na ndio hatua itakuwa imepigwa.... Cha msingi hapa naona ni utayari wa kuanza na kuamini tunaweza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom