Baadhi ya misimamo ya watu wenye akili zaidi ya wastani

mathematics kama yenyewe ipo original haibadiliki kamwe ila sasa mafafanuo yake katika dunia yetu ndo shida zinapoanza

mambo kama four dimensions being au being before time they cant make any sense kwetu. Chukulia four dimensions hakuna binadamu ambaye anaweza ona hizo dimensions zimekaaje
Four dimensions mbina hata wewe upo hapo kwenye three dimensions za space na moja ya time.

Four dimensions za spacetime tayari hizo.

Kulingana na Albert Einstein's Relativity.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio sasa cheki hizo four dimensions zinavyo onyeshwa kwenye illustration , yaan inabid three dim zifanywwe kama 2d na time inaongezewe la sivyo haiwezekaniki
 
Ndio sasa cheki hizo four dimensions zinavyo onyeshwa kwenye illustration , yaan inabid three dim zifanywwe kama 2d na time inaongezewe la sivyo haiwezekaniki
Siyo haiwezekaniki, wewe kwa sababu ya ulivyo unaona sivyo.

The world is not anthropic.

Unaelewa kwamba kuna mionzi ambayo macho yako hayaioni?

Na kwamba, ukweli kwamba macho yako hayaioni hiyo mionzi, hakuifanyi isiwepo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo haiwezekaniki, wewe kwa sababu ya ulivyo unaona sivyo.

The world is not anthropic.

Unaelewa kwamba kuna mionzi ambayo macho yako hayaioni?

Na kwamba, ukweli kwamba macho yako hayaioni hiyo mionzi, hakuifanyi isiwepo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Najua visible light ni small portion katika electromagnetic spectrum. Tunatumia tools kutambua uwepo wa invisible ray

Sasa tukija kwenye limit zetu za kibinadamu sisi tumeishia 3 dim. Lakin kwa kutumia mathematic tools tunaweza deduce hizo dimensions nyingine. Hili swala halina tofauti sana na kipindi euler alipo invent imaginary number ambapo hizo imaginary zikaja tumika kutoa solution ya polynomial function
Ndipo imaginary zinaonekana umuhimu wake somehow. Ila hesabu zina nadharia nyingi sana ambazo hazijapata matumizi kwa dunia hiil labda huko mbeleni
 
Back
Top Bottom