Baadhi ya Mawaziri hawamsaidii rais

ton11

Senior Member
Apr 8, 2019
106
135
Kwa kazi anazozifanya raisi mimi naona kama mawaziri hawamsaidii na hawawajibiki ipasavyo, hivi kweli Mpaka raisi anakwenda kutembea magerezani na kubaini uozo mwingi je Waziri husika anafanya nini?! Je hakuliona Hilo? Mpaka rais anakwenda mwenyewe? Mi naona hawa mawaziri bado hawajamuelewa Mheshimiwa Anataka nini yaan Mpaka raisi Afanye jambo ndio nao (mawaziri) wakurupuke kumfuata?!! Yani hawajiongezi Kabisa?? Wananchi wana matatizo Mengi Sana ambayo yanahitajika kutatuliwa na viongozi sio Mpaka raisi afanye Kila kitu Ni kiongozi inabidi kuwa creative vinginevyo mtamchosha mapema bosi wenu.
 
Back
Top Bottom