Baadhi ya Matusi ambayo CCM wanayaporomosha bila ya aibu haya hapa...

yplus

Senior Member
Mar 20, 2012
153
69
nimeshuhudia leo katika uwanja wa PR School Ngaresero CCM wakitukana na kusema Chadema wanamimba,Dr Slaa ana mimba na watajifungua tarehe 1 April...
Aliyesikia mengine tafadhari tuwajulishe Watanzania waone CCM hatua waliofikia sasa...
Nawasilisha...
 
Hapo hapo wanaomba kura toka kwa wakina mama!
 
nimeshuhudia leo katika uwanja wa PR School Ngaresero CCM wakitukana na kusema Chadema wanamimba,Dr Slaa ana mimba na watajifungua tarehe 1 April...
Aliyesikia mengine tafadhari tuwajulishe Watanzania waone CCM hatua waliofikia sasa...
Nawasilisha...

Lema alikuwa anaku'gutwa kwa nyuma akiwa gerezani ndio maana alikuwa hataki kutoka - lusinde
 
nimeshuhudia leo katika uwanja wa PR School Ngaresero CCM wakitukana na kusema Chadema wanamimba,Dr Slaa ana mimba na watajifungua tarehe 1 April...
Aliyesikia mengine tafadhari tuwajulishe Watanzania waone CCM hatua waliofikia sasa...
Nawasilisha...
Ni kweli unayosema naona hata magazeti yanayoheshimika yameanza kuwageuka

Wakati kampeni za Chadema zikiwa zinaongozwa na Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, kwa upande waCCM, Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde ndiye aliyeonekana kung'ara jana.

Lakini tofauti na Mbowe, ambaye alikuwa akinadi sera muda mwingi, Lusinde alionekana kukishambulia Chadema kwa tuhuma mbalimbali.

Gazeti la Mwananchi.
 
Kwa hiyo wameamua kutumia vibwagizo vya mashabiki wa mpira ambao hawajatulia wasikikao uwanja wa Taifa wakati wa mechi
 
Lusinde huko unakoelekea unaimaliza ccm na ww mwenyewe, mambo ya familia ya Nyerere mzee Burito ya nini tena? Halafu watu kunajisiwa magerezani si uzembe wa uongozi wa ccm? Tumia akili kidogo usiwe unaufungua mdomo kipuuzi bila kupima.
 
mboana wenyewe wanaweza kujifungua mdawowote hatusemi yale matumbo unafikiri wamebeba nn kam siyo uja uzito tehe tehe teheeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!
 
staili hii ya matusi na kashfa waliianza cdm sasa leo imegeuka kwao inakuwa nongwa. Jaribu kuwa makini ktk siasa mbinu zingine zaweza kukuangamiza mwenyewe. Cdm mmechokoza wenyewe sasa twendeni vivyo hivyo kama tutafika salama
 
uko timamu kweli?
 
nimeshuhudia leo katika uwanja wa PR School Ngaresero CCM wakitukana na kusema Chadema wanamimba,Dr Slaa ana mimba na watajifungua tarehe 1 April...
Aliyesikia mengine tafadhari tuwajulishe Watanzania waone CCM hatua waliofikia sasa...
Nawasilisha...

Matusi Mengine wanasema:
Wapinzani wanakiherehere kama nywele, zimetoka kichwani zikashuka mpaka kwenye kidevu. Zikatoka kwanye kidevu kwa kiherehere mpaka kwenye kwapa. Kiherehere ikazifanya nywele zishuke mpaka below the belt.
 
Aisee ndiyo vijana tegemeo la kuiongoza ccm mbeleeni du siwezi amini.
 
tusi lingine hili hapa lilitolewa siku ya ufunguzi pale Ngaresero na Muigulu
CDM wana akili kama za Jogoo,wakwanza kuamka asubuhi lakini hawawezi kufungua mlango...
 
Back
Top Bottom