Baadhi ya Mapadre vaeni Barakoa msisikilize wanasiasa kutokana na umri wenu

Madumbikaya

Senior Member
Jun 6, 2018
153
500
Askofu Ruwaichi alishatoa muongozo mvae barakoa

Padri anakutana na watu mamia wakati wa kutoa sakramenti ya ekaristi takatifu

Ni ukweli usiofichika Mapadri wa naondoka sana sana

Week iliyopita Padri Mbiku wa chuo kikuu cha Dar alikuwa anaongoza Misa live kupitia YouTube bila barakoa na Leo hayupo, Week hii ameondoka na corona
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom