Kishongo
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 932
- 64
Inafurahisha kuona jinsi wabunge wote wakiwemo wa upinzani wanavyoapa mbele ya Spika wao Anna Makinda.
Miongoni mwa maneno ya kufurahisha katika kiapo chao ni:
'Nitaihifadhi, Nitailinda na Kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania'.
Waheshimiwa Zito, Mbowe na Tundu Lisu walitamka kwa ufasaha sana maneno haya.