Baadhi ya magari yazuiwe kuingia mjini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baadhi ya magari yazuiwe kuingia mjini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, Jun 28, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kuna mbunge kutoka ukonga anachangia na kusema magari ya watu binafsi yazuiwe kuingia mjini
  hawa watu hawana uwezo wa kufikiri
  huwezi kuzuia magari kuingia mjini eti kwa sababu kuna foleni
  hiyo inaonyesha wazi wamefilisika kimawazo
   
 2. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  labda ahamishie wizara zote dodoma
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  wanashndwa kumaliza tatizo dogo hivyo hayo makubwa wataweza??????
   
 4. F

  Froida JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  yaani anasema yaruhusiwe yale ya watu kuanzia kumi na nane ha ha ha huleeee, wabunge wa CCM wanavituko
   
 5. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  wajenzi wa Babel
   
 6. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Napita wakuu
   
 7. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hawa wa bunge wanakurupuka sana.
  Watu wakizuiwa kwenda na magari mjini halafu watembee?
  Wanatakiwa kusema nini itakuwa mbadala wake.
  Wasiige vitu wenzetu ulaya wanaliweza hili kwani wanasehemu salama za parking nje ya mji na kuna mabasi na tren ziendazo kasi
   
 8. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa wakiondoa magari binafsi hao watu binafsi watatumia usafiri gani? Kwel washkaji wanakurupuka kimaamuzi
   
 9. Dr-of-three-Phd

  Dr-of-three-Phd Senior Member

  #9
  Jun 28, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tatizo la foleni si tatizo ila siasa zimejaa, foleni hii inawezakuondoka ndani ya miezi mitatu (siku tisini) kama serikali itatengana na siasa kufanya hili, kwani foleni ipo kwenye makutano ya barabara kuu zote, kama morogoro rd/mandela rd (Ubungo), ali hasan rd/ samnujoma rd (mwenge), shekilango rd/ali hasan rd, shekilango rd/morogoro rd, kimara mwisho stendi, mbezi mwisho stendi, Mandela rd/tabata rd, mandela rd/uhuru rd (buguruni), mandela rd/Nyerere rd (tazara), nyerere rd/kawawa rd, lindi rd/kawawa rd (machinga complex), uhuru rd/Kawawa rd, uhuru rd/msimbazi rd, kigogo rd /kawawa rd (kiembe sambusa), morogoro rd/kawawa rd(magomeni), kawawa rd/Ali hasan rd (morocco-kinondoni) ali hasan rd/st. peter(masaki), ali hasan rd/united nition rd/ocean view rd (upanga/selender) ali hasan rd bibititi/ohio rd, zaikiwe rd/Bibi titi rd (maktaba/sophia house), Azkiwe rd/hidery plaza/azam round about rd, Azikiwe/sasmora rd (askari monument), fery rd to kigamboni boats back to sokoine rd. Plani ya hizi barabara ni flyovers na pillers roads, kuimarisha filter roads, kama udsm to kimara baruti via msewe, mbezi moro rd/mbezi beach ali hasani rd, wazo via msumi mbezi moro rd, moro rd/ bunju via mabwepande, sinza uzuri/mahakama ya ndizi, tgnp/kigogo via mburahati sokoni, ali hasani rd(kanisani)/leaders club via biafra ground, old bagamoyo rd(drive in cinema)/msasani trdo, shekilango rd(sinza mugabe)/sam nujoma, moro rd(mbezi mwisho stendi)/ukonga/tabata rds, white sands round about rd/kunduchi police station, bahari beach (kunduchi) rd/Alihasani rd (tegeta) via tegeta police station, kunduchi beach rd/ali hasani rd(tegeta/wazo, nyuki bus stop), bahari beach rd/ali hasani rd via ununio, tabata rd/Nyerere rd via vingnguti, nyerere rd/Tandika stand/magorofani via yombo vituka, tatizo litaisha kama tu siasa na ulimbikizaji wa mali wa wakubwa utaachwa.

  Aluta Continua!
   
 10. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 521
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  ni heri uvae shati lililochanika kuliko kutoa hoja zinazochefua,
   
 11. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,920
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Hizi junction zote zingekua na Fly overs Nafikiri foleni ingepungua sana. Sidhani kama tunashindwa kuweka Fly overs kwenye Junction peke yake.

  Hivi mbona tunaendeshwa kama magari mabovu. Hivi waziri si alishasema lazima Fly overs ziwekwe kwenye Junction zote? Mbona sasa hivi kimya na wala hatujui zitawekwa lini! au ndio mpango ushakufa?
   
 12. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Ila yeye atapanda VX....lenye viti 10 pekeyake.....
   
 13. P

  Pat Gucci Senior Member

  #13
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Alitaka tu auze sura kweny kideo! teh! teh!
   
 14. Dr-of-three-Phd

  Dr-of-three-Phd Senior Member

  #14
  Jun 28, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wakijenga flyover watakosa VX,V8 si unajua walivyo mafisadi nani wa kumvika mwenzie kengere?????


  Shame on them!~
   
 15. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #15
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  hapa anaprove failure ya magamba kushindwa kuendeleza miundombinu, jamani weee uwezo wa ccm umefikia tamati kama hili gamba lilivyosema
   
Loading...