Baadhi ya maeneo ya Changanyikeni karibu na UDSM Mlimani ni kama Ulaya

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,887
Baadhi ya mitaa ya changanyikeni ni kama Ulaya.

Ukiwa hayo maeneo ukiambiwa upo Dar es Sallam utakataa pako kama Ulaya au unaweza kudhani upo maeneo fulani ya Arusha, Nairobi, Mbeya, Moshi au London.

Pana ukijani mzuri sana mazingira safi yanayovutia na yenye miti mingi na makazi ya kisasa.

Hapo ndo unaona umuhimu wa kupanda miti na kuufanya mji uwe wa kijani na miti mingi na mpangilio bora wa makazi sambamba na usafi wa mji.

Changanyikeni baadhi ya mitaa inavutia sana na inapendeza sana.
 
Vip siku hizi hakuna vibaka huko ? Maana huko kulikua na vibaka Sana wakivizia kuwaibia watu laptop
 
Baadhi ya mitaa ya changanyikeni ni kama Ulaya.

Ukiwa hayo maeneo ukiambiwa upo Dar es Sallam utakataa pako kama Ulaya au unaweza kudhani upo maeneo fulani ya Arusha, Nairobi, Mbeya, Moshi au London.

Pana ukijani mzuri sana mazingira safi yanayovutia na yenye miti mingi na makazi ya kisasa.

Hapo ndo unaona umuhimu wa kupanda miti na kuufanya mji uwe wa kijani na miti mingi na mpangilio bora wa makazi sambamba na usafi wa mji.

Changanyikeni baadhi ya mitaa inavutia sana na inapendeza sana.
Picha pls
 
Back
Top Bottom