Baadhi ya mabweni ya shule ya Marian Boys Bagamoyo yangua moto

Jongwe

JF-Expert Member
Apr 25, 2008
1,039
659
Baadhi ya mabweni ya wanafunzi wa shule ya Marian Boys yametekea kwa moto siku ya Jumanne tarehe 3 November 2019. Inasemekana mabweni ya wanafunzi wa kidato cha 5 na 6 ndio yaliyoathirika. Habari njema hakuna mwanafunzi aliyeumia, japo mabweni na mali za wanafunzi wa mabweni hayo ndio vimeteketea. Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana.
IMG-20191203-WA0004.jpg
IMG-20191203-WA0006.jpg
IMG-20191203-WA0005.jpg

IMG-20191203-WA0005.jpg IMG-20191203-WA0004.jpg IMG-20191203-WA0006.jpg IMG-20191203-WA0005.jpg
 
Back
Top Bottom