Baadhi ya mabosi kuwa mashoga, ni laana ama?

Status
Not open for further replies.

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Jamani nimekuwa na mawazo mengi sana kuhusu huu ushoga; kidogo inasumbua kuelewa kuna sehemu kwenye maviwand amakubwa ama makampuni makubwa yanayoheshimika yakiongozwa na mashoga tena kwenye post kubwa kabisa;

Nimekuwa nikiuliza walitumia shule ama vitega uchumi vyao kuingia maofisini, nimewiwa hivi kuna mmoja yupo huku mbezi beach, anafanya ZANTEL yuko kwenye kampuni nzuri cha ajabu ana hela zake ameridhika ,na ana mke wake swali anafanya kujiridhisha ama ni laana ama kiduduwasha waswahili
tusemavyo;

Yupo mwingine pale DT DOBBIE ana shule yake nzuri tena alwatana hapa mjini lakini inasikitisha kwa hili, nimeshindwa kuwataja nikijaribu kuona maoni je soln ya wao kuachana ni kutajwa majina adharani ama.

Kwa wanaojua walioko maofisini embu tusaidiane kuwatambua mahali hapa pengine twaweza kuwasaidia
USHOGA MWIKO DAIMA
 
Mwingine mwanamitindo mmoja mashuhuri ni majuzi tu katoka kupunguz tumbo ,wako wawili
hakika kazi ipo
 
Mimi mpaka leo sielewi kwanini mwanaume ampende mwanaume mwenzake ila swali ni kwamba:

Kwani mtu akiwa shoga hawezi kusoma mpaka akawa bosi?
Ina maana mashoga sio Intelligent?
 
Mimi sishangai private citizens kuwa mafirauni japo kuwa napinga. Kinachonishangaza ni makanisa kubariki michezo huu miongoni mwa viongozi wake. Hawa Lutherans wanasema kama unamtafuna na kutafunwa na mmoja tu basi ni ruksa.

Hivi Wakristo munapoona mapadri wenu wanabariki uhani.dhi na ubasha huwa munajisikiaje. Bado munaamini hawa watu na hizo dini ni za haki mbele ya Mungu?

Sohoji 'wahuni' wachache kufanya mambo kinyume na dini, hapa tunaona dini inabariki huu uchafu.

http://www.washingtontimes.com/news/2009/aug/22/lutheran-church-to-allow-gay-clergy-couples/
 
Mzanganyika inasikitisha sana, ndiyo maana kuna madhehebu mengi. watu wengi wanakuwa wapentekoste kwa sababu katika upentekoste mambo haya hayapo dispite several setbacks due to human error. Lakini kwa dhambi kama hii hakuna. Inatia kinyaa sana.
 
Ushoga ni laana... Ni kitendo kisichofaa kwa kiumbe chochote. Mbona mamalia wengine hawahusudishi vitendo hivi vya ushoga, sie binadamu tumevitoa wapi?

Jamii yapaswa ikemee vitendo hivi kwa nguvu zote. Kwa Tanzania hatujachelewa sana, na tuanze kwa kuwataja majina...ila tusilete majungu na chuki binafsi.
 
Kuna mwingine ni mwanajf huyo unajenga nae urafiki ukikutana nae tu basi umeisha anakulazimisha -- kuna members wengi wamekubwa na kadhia hii wanakimbia forum
 
Kuna mwingine ni mwanajf huyo unajenga nae urafiki ukikutana nae tu basi umeisha anakulazimisha -- kuna members wengi wamekubwa na kadhia hii wanakimbia forum

Hee!! Jamani! Dunia imekumbwa na nini? ndio maana majanga ya kutisha hayaishi!! tumezidi kumkosoa muumba!
 
Kuna mwingine ni mwanajf huyo unajenga nae urafiki ukikutana nae tu basi umeisha anakulazimisha -- kuna members wengi wamekubwa na kadhia hii wanakimbia forum
Asimuliae mvua imemnyea, asante kwa taarifa , ila pole kwa yaliokukuta Shy, mweke hadharani ili tumkwepe maana huwezi jua anaweza akawatenda wengine kama alivyokutenda wewe.
 
Asimuliae mvua imemnyea, asante kwa taarifa , ila pole kwa yaliokukuta Shy, mweke hadharani ili tumkwepe maana huwezi jua anaweza akawatenda wengine kama alivyokutenda wewe.

Yaani wewe ni mgeni ktk JF mpaka humjui Shy..lolz
 
Jeetu Patel

Hii ya Jeet Patel imenitisha!!! Au ndiyo maana hana mke na wala hataki kabisa kuoa?? Nakumbuka alikuwa anaishi na mwanamke mmoja, na yule mama alikimbia?? Jamaa amezeeka, nyumbani ni wafanyakazi na paka tu!!! Na utajiri wote huo!!! hataki kabisa kusikia habari za kuoa!!! Mimi nilidhani pengine ana matatizo ya kibaolojia, kumbe ni bwa bwa?? Hebu mwenye data zaidi atupatie. Nimepatwa na butwaa!!

Huyo wa PPF zamani, yeye sijui ndiye mume au mke? Maana dunia imekwisha. tufanyeje tuukomeshe ushoga?? Ni aibu mno kwa maisha ya binadamu.
 
Hii kitu inaenea kwa kasi sana TZ,sijui ilikuwepo ila watu walikuwa wanajificha tu au watu wameanza kujifunza sasa?
 
Hii kitu inaenea kwa kasi sana TZ,sijui ilikuwepo ila watu walikuwa wanajificha tu au watu wameanza kujifunza sasa?
ilikuwapo miaka mingi tu , ila ongezeko la watu ma ukuaji wa sekta ya habari na mawasiliano inachochea sana Ukahaba, usagaji na Ushoga si tu TZ bali Afrika na Dunia yote, ila kinachotisha wako watu wanafanya hiyo kama burudani mfano hao ambao wanatajwa humu kuwa wanajiburudisha kwa kuingiliwa makalioni inatisha maana kama pesa wanayo,. kama kazi wanazo,....labda swali hapa ni je mtu huzaliwa shoga,ama ni matokeo ya malezi na mazingira.
 
Jamani nimekuwa na mawazo mengi sana kuhusu
huu ushoga;kidogo inasumbua kuelewa kuna sehemu
kwenye maviwand amakubwa ama makampuni makubwa
yanayoheshimika yakiongozwa na mashoga tena kwenye
post kubwa kabisa;nimekuwa nikiuliza walitumia shule ama
vitega uchumi vyao kuingia maofisini,nimewiwa hivi kuna mmoja
yupo huku mbezi beach,anafanya ZANTEL yuko kwenye kampuni
nzuri cha ajabu ana hela zake ameridhika ,na ana mke wake
swali anafanya kujiridhisha ama ni laana ama kiduduwasha waswahili
tusemavyo;
Yupo mwingine pale DT DOBBIE ana shule yake nzuri tena alwatana hapa mjini
lakini inasikitisha kwa hili,nimeshindwa kuwataja nikijaribu kuona maoni je
soln ya wao kuachana ni kutajwa majina adharani ama,
kwa wanaojua walioko maofisini embu tusaidiane kuwatambua mahali hapa pengine twaweza kuwasaidia
USHOGA MWIKO DAIMA

Unafikiri hele walizonazo wametoa wapi? Wengine hupewa masharti na waganga wao wa jadi akiacha kufi*wa tu na hela zinapotea! Wajitayarishe na kansa za huko mku*duni na waandae na pampazi za kutosha maana kutakuwa hakuna breki
 
kwa kuwasaidia ili wasiendelee na vitendo hivyo watajwe kwa majina wajue si siri tena huenda wakaacha mchezo huo mchafu.
 
Kuna mwingine ni mwanajf huyo unajenga nae urafiki ukikutana nae tu basi umeisha anakulazimisha -- kuna members wengi wamekubwa na kadhia hii wanakimbia forum

pls mwanike huyo asituchafulie hali ya hewa humu jamvini
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom