Baadhi ya mabosi kuwa mashoga, ni laana ama?

Status
Not open for further replies.
USIJE UKAWA NA MFANYAKAZI MWENZIO AMEKUZIDI CHEO NA MAFANIKIO UKAJA JF KUMCHAFUA KUWA NI SHOGA, TUWE MAKINI SANA NA HIZI STORY AMBAZO HAZINA UTHIBITISHO....ETI MTU MNAMWITA SHOGA KISA HAJAOA, KWELI??!! ILA USHOGA UPO LAKINI TUSCHAFUE WATU BILA UTHIBITISHO......AKIJA KUJITONGOZESHA KWAKO MREKODI KISHA ULETE UTHIBITISHO JF SIO STORY ZA MTAANI!
 
Yule aliyeiuwa ATC vipi!,alimleta mkongo yule mweupee wa ikibinda nkoi mzee wa kunengua,akamkataza kutoa show akendanae Naarobi na private jet baadae Butiama mazikoni.
 
Mkimuona bwabwa anayehonga mwenye noti za maana...... jamani nipigieni pande mi shida yangu noti
 
Na mimi sitashangaa kwamba mnayemuita Jesus alikua gay!!

Schmidt mnayemuita Jesus mpaka alipotundikwa msalabani Hakua na mtoto wala mke.

No wonder why many priesters are gay
!!
judas1.jpg
jesus.jpg
loljesus1.jpg
Ufinyu wa kufikir unakusumbua istoshe hapa hatuzungumzii dini na hizo picha zimetengenezwa

Watu wa aina yako ni mzigo kwa jamii na taifa kama unaona huna cha kuandika soma usicomment uchochez usio na tija kula vyakula vya kujenga ubongo vitakusaidia kufukir vyema my friend
 
Asimuliae mvua imemnyea, asante kwa taarifa , ila pole kwa yaliokukuta Shy, mweke hadharani ili tumkwepe maana huwezi jua anaweza akawatenda wengine kama alivyokutenda wewe.
Walikuwa wamepanga kukutana kwa ajili gani?
 
ilikuwapo miaka mingi tu , ila ongezeko la watu ma ukuaji wa sekta ya habari na mawasiliano inachochea sana Ukahaba, usagaji na Ushoga si tu TZ bali Afrika na Dunia yote, ila kinachotisha wako watu wanafanya hiyo kama burudani mfano hao ambao wanatajwa humu kuwa wanajiburudisha kwa kuingiliwa makalioni inatisha maana kama pesa wanayo,. kama kazi wanazo,....labda swali hapa ni je mtu huzaliwa shoga,ama ni matokeo ya malezi na mazingira.
Unataka kusema wako wanaofanya for a living!Kuwa shoga ni kazi kumbe!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom