Baadhi ya fani zenye ajira kubwa Duniani: Wazazi somesheni watoto nje Degree za Cyber Security na Aeronautical Engineering

Course za IT kama una kichwa kizuri unasoma mwenyewe, hiyo cybersecurity hiyo unaweza ukaisomea home mwenyewe na PC yako, Youtube, Torrent kuna tutorial na pdf kibao.

Ila kitu chenye ajira za wazi ni Programming, hiyo cyber haifui dafu kwa programming. Piga zako Java, Python, PHP, C++ utapiga hela mpaka utazikataa.
danganya wenzio
 
danganya wenzio
Kama huna kichwa hiko ni wewe,ila ukiingia Torlock kuna tutorials (Lynda na Udemy) na vitabu kibao ukiongezea na youtube kama upo serious utajua vingi.Ila si shangai inawezekana naongea na mtu asiye zoea MISULI YATIMA.

Hata mimi Networking Cisco, Huawei na Juniper (basic) nimesoma mwemyewe na ongea kitu nilicho kifanya na hata washkaji zangu programming wamesoma wenyewe.
 
Cyber security haitakuwa na kazi kama hakuna wakusumbua makampuni ili waone umuhimu wa experts kweye hiyo sekta
 
Course za IT kama una kichwa kizuri unasoma mwenyewe, hiyo cybersecurity hiyo unaweza ukaisomea home mwenyewe na PC yako, Youtube, Torrent kuna tutorial na pdf kibao.

Ila kitu chenye ajira za wazi ni Programming, hiyo cyber haifui dafu kwa programming. Piga zako Java, Python, PHP, C++ utapiga hela mpaka utazikataa.
danganya wenzio
Kama huna kichwa hiko ni wewe,ila ukiingia Torlock kuna tutorials (Lynda na Udemy) na vitabu kibao ukiongezea na youtube kama upo serious utajua vingi.Ila si shangai inawezekana naongea na mtu asiye zoea MISULI YATIMA.

Hata mimi Networking Cisco, Huawei na Juniper (basic) nimesoma mwemyewe na ongea kitu nilicho kifanya na hata washkaji zangu programming wamesoma wenyewe.
hongera
 
Mkuu huo ndiyo ukweli, Tz hatuna ubunifu. Tumejaa ukiritimba. Natamani Dkt Magufuli angekuwa ndiye waziri wa Elimu nadhani angekuwa ameliona hili. Unakuta nchi kama nchi haijui idadi ya wasomi wake wanaorejea toka nje za nchi na haijui wamerejea na utalaamu gani ili utumike pahala gani kwa manufaa ya nchi. Nchi imejaa majungu majungu tu. Balozi zetu ndiyo sehemu ya kupigia per diem, hawafahamu kabisa umuhimu wa diaspora, ikitokea umeenda ubalozi wanakuona wewe ni mkimbizi. In short Dkt Magufuli hajapata viongozi mathubuti wenye maono wa kuongoza wizara ya Elimu. Huyo mdau unayemsema si yeye tu, kuna mtu nasikia alisomea mambo ya acturial nje za nchi alivyorejea alikula msoto mpaka akaamua kurudi huko alikotoka.
mfumo wa elimu hauturuhusu kupata maarifa yanayoweza kutusaidia wenyewe au hata jamii iliyotuzunguka
Primary tunapoteza mda na kuvurugwa masomo mengi hayaeleweki katoto kanasoma mambo mengi kanabeba ndoto mia ndani ya miaka 7 then
Secondary kanasoma science au art au commercial pasopo kupenda au kujua
Advance anaangukia Hkl (Hkunani)
Chuo anasoma kitu hakiendani hata na kitu kimoja alichowahi kufundishwa huko nyuma au alichowahi kukiota
Huyu mtu unaweza ukampa jambo akalitekeleza KWa maarifa chanya kweli? Obviously atalifanya kwa mbinu ngumu KWa sababu ndo mazingira yaliyomkuza
Na ndo maana wizara ya elimu haibadilishi mambo yakawa mepesi na kuweka mfumo wa elimu kuwa mwepesi bali wanazidi kuvuruga na kuzunguka zunguka tuu system bado mbovu hata ukija na elimu yako kutoka nje ni ngumu kuitumia watu wameshazoea mbinu ngumu zisizo na utatuzi chanya
Tunahitaji miaka elf10 mingine kwenda sawa na dunia
 
Kwanza wewe mwenyewe tambua unataka nini,hii utakusaidia kufanya kitu unachokipenda sababu field za IT zina badilika sana so unachokifanya hakikisha unakipenda,labda unataka Database(MySql,Oracle),Programming(python,Java,C++,PHP,Go),Networking (Cisco,Juniper,Huawei nk),Server,Cyber,System Analysis and Design.

Ukishajipima wewe mwenyewe unachokiweza na kukipenda,sasa ingia youtube mule kuna tutorial nyingi tu,download utapata maelekezo yote au ingia torrent napo kuna tutorial nyingi download video na vitabu,baada ya hapo soma sana theory na practical,ukishajilizisha sasa unaweza kwenda level za juu ktk hiyo field.

Husiogope mwanzo mgumu,mimi networking nimeijulia baada ya kumaliza chuo.Chuo nimetoka mweupe mimi na cheti changu ila skills sina,nilisoma Network YouTube na kuna vitabu nilivisoma ndivyo vilivyonisaidia.
Ni vitabu gan kwenye nertwork ulipiga brother unisaidie
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom