Baadhi ya fani zenye ajira kubwa Duniani: Wazazi somesheni watoto nje Degree za Cyber Security na Aeronautical Engineering

Hata nami nilishangaa kwa kweli mtu anawapa proposal nzuri inayowafanya mzidi kutamba mnamwachaje sasa! Mngemuajiri mngenufaika naye zaidi kwa kuwapa vitu vipya kila siku. Ile sio Kampuni ni matapeli tu.Hata hao walioiba idea zako nao ni matapeli vilevile.
Itakuwa ni company ya watu wasio jielewa, na hata ukiifatilia sasa hivi unaeza kuta haina mabadiriko yoyote
 
Kuna mwanajf fulani hivi kipindi cha nyuma alilalamika kuhusu hili.Sema wao walitumia trick tofauti kidogo.Tangazo la kazi lilitoka akaapply.Kavuka vikwazo vyote hadi kafika oral.Wakaanza maswali yao ya kuuliza mipango ya interviewee kuhusu kampuni.Jamaa kashuka idea konki sana.Shoo ikahamia upande wa wages.Wakamuuliza unataka tukulipe shingapi akataja.Wakadai hicho kiasi kikubwa so wakashushana bei hadi 2.5M per month! Makubaliano yakafikiwa.Ila cha ajabu baadaye jamaa hakuitwa.Akajua basi yawezekana kuna aliyekuwa mkali zaidi yake ndo kala shavu,akapotezea.Ila akaamua kufuatilia kwa wadau aliopiga nao interview akagundua nao hawakupata ile kazi.Jamaa baadaye kaja kugundua hawakuajiri mtu ila idea zake zile ndo wanazitumia.Hapo hajafaidika hata mia! Akaja jf kutupa sisi vijana tunaochipukia somo kuhusu huo utapeli hehe!
Mkuu hata Mimi hii imewahi kunitokea ila kuna boss Mbongo akaweka barrier baada ya maboss wahindi kukuikubali.

Ikabidi awaweke pembeni hao wahindi na kuniambia nisubiri mpaka bodi iridhie. Nikapigwa chenga za mwili kwa miadi hewa na maneno.
Wakati kuna mhindi mmoja akikuwa anahitaji jambo lianze mapema.Project hata wakiifanya isingeweza kufanikiwa parefu sana maana.
 
Mkuu inaonesha muda wako mwingi unautumia ukiwa majini sana.
 
Mkuu hata Mimi hii imewahi kunitokea ila kuna boss Mbongo akaweka barrier baada ya maboss wahindi kukuikubali.

Ikabidi awaweke pembeni hao wahindi na kuniambia nisubiri mpaka bodi iridhie. Nikapigwa chenga za mwili kwa miadi hewa na maneno.
Wakati kuna mhindi mmoja akikuwa anahitaji jambo lianze mapema.Project hata wakiifanya isingeweza kufanikiwa parefu sana maana.
Duh pole boss! MTz mwenzako akakuzunguka!
Ila kama ulivyoainisha kuna project nyingine zinahitaji mhusika mwenyewe aliyedesign ashike usukani ili zikamilike hadi mwisho.Mara nyingi wanaowafanyia watu hivi huwa mwishoni hawafaidiki na chochote maana nahodha wa chombo hamna lazima kiende mlama!
 
Mkuu wewe wafikiria kuajiriwa, wenzako wanataka kuajiri. Mentality ya kimasikini sana hiyo.

Kuna degree Tanzania hamna ila zina soko sana duniani, vijana wa PCM zinawafaa.

Wazazi, mkiwa na pesa na mkiwa na watoto wazuri waliofaulu vizuri PCM pelekeni Ulaya au Marekani wakasome degree za Cyber Security na Aeronautical Engineering.

Ni baadhi ya hot cake degrees, dunia nzima inawataka.
 
Hapana mkuu, tupo pamoja nchi kavu.
Nimewekeza muda na akili kwenye fani yangu ya Marine.
Hii sector nayo inatisha kama Ile ya madini ukiwa hujawai kuchimba madini mtu akiku-invite unahisi anataka kunitoa sadaka nini na huku kuna jamaa aliwai kuniuliza unaweza kuvua tuingie baharini nikaona aah wee.

Nchi kavu tunasikia fursa nyingi za pesa mtu akiwa na Mtaji kama wa 6M unawezaje Double fasta iyo pesa kwenye hiyo sector.
 
Kuna degree Tanzania hamna ila zina soko sana duniani, vijana wa PCM zinawafaa.

Wazazi, mkiwa na pesa na mkiwa na watoto wazuri waliofaulu vizuri PCM pelekeni Ulaya au Marekani wakasome degree za Cyber Security na Aeronautical Engineering.

Ni baadhi ya hot cake degrees, dunia nzima inawataka.
Dadavua vizur basi ili kumsawishi mwenye mtoto juu yahili usemalo maana hata sisi tuliambiwa ivyo wakati huo ila mambo tofauti saivi

Lakini pia hatujui mpaka huyo mtoto atakavokuja kuhold hicho kitu bado mazingira yatakuwa kam unavofikiria saivi

Yote tisa kumi nyie mlozaa nakuwapangia watoto wenu chakusomea chukueni ushauri hapo
 
Hii sector nayo inatisha kama Ile ya madini ukiwa hujawai kuchimba madini mtu akiku-invite unahisi anataka kunitoa sadaka nini na huku kuna jamaa aliwai kuniuliza unaweza kuvua tuingie baharini nikaona aah wee.

Nchi kavu tunasikia fursa nyingi za pesa mtu akiwa na Mtaji kama wa 6M unawezaje Double fasta iyo pesa kwenye hiyo sector.
Mkuu uvuvi ni vifaa na ni tofauti na madini. Ambayo unatafuta jiwe mpaka ulipate ni muda mrefu. Kama ukivua kisasa utapata mazao mengi na ukienda leo unarudi na mzigo.

Tatizo hata ukiwa na mtaji barrier nyingi ni mamlaka kama watu wa kutoa vibali,mapato na kusajili meli.

Mazingira yetu sio rafiki hayakusapoti kwenda mbele, ukiweka mtaji utajikuta unanufaisha watu wengine.
 
Back
Top Bottom