Baadhi ya dalili za maambukizi ya VVU

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,580
7,938
Ukiwa na UKIMWI kifo kiko mlangoni pako. UKIMWI unafungulia kifo kwa haraka kupitia magonjwa mengine kama cancer, TB, BP n.k

Ukipima na ukabainika una VVU hapo stresses unazichochea, na ukibainika uko salama inakupa nguvu ya kujikinga zaidi.
Ndugu yangu kama una dalili moja kati ya hizi Mungu akutie nguvu, maybe una ngoma

1. Kikohizi cha mara kwa Mara
2. Ngozi kupauka
3. Mipele mikubwa usoni
4. Vipele sehemu za siri au vidonda
5. Unakula vizuri ila mwili unazidi kupungua.
6. Macho maangavu(meupe) sana.
7. Mwili/ngozi kuwasha.
8. Mwili kuchoka haraka.
9. Nywele kukosa afya (kuwa nyepesi sana)

Note: Nime experience haya kupitia wagonjwa wa UKIMWI.

Hebu jikague mwenyewe hapo ulipo.
 
Ndio umeambiwa huko bonde la baraka eh kwamba ukimwi ni hatari ivyo.

Si wote tungekuwa na ukimwi kwa hizo dalili zako
 
Ifike mahala wa Tanzania tubadilike, tuache hizi habari za kutishana tishana bila fact au takwimu! Kwa sasa Ukimwi sio tishio kama hapo awali, jaribu kufikiria tu misiba 10 ya mwisho ulioudhuria basi kesi za Ukimwi ni 1/10, 2/10 au 0/0.

Yes, Ukimwi upo lakini sio big deal tena kama mtu ukijijua mapema, elimu inahitajika sana kuhusu Ukimwi, halafu mwisho wa siku anayepanga kifo cha mtu ni Mwenyezi Mungu, unaweza ukaumwa Ukimwi lakini ukafa kwa ajali, ndo maana unaona watu wapo ICU wanamaliza miaka wanakufa watu wazimaa tena usingizini.

Kifo hakina formula tusijambishane!!
 
Hizo dalili sio za HIV kama daktari alikuambia unao na ukaji asses na hizo dalili na kuikubali taarifa yake unakufa kizembe sana. Ushauri wangu kapime tena hospital ya binafsi usijipime utakuja kunishukuru
 
yaa
Ukiwa na UKIMWI kifo kiko mlangoni pako. UKIMWI unafungulia kifo kwa haraka kupitia magonjwa mengine kama cancer, TB, BP n.k

Ukipima na ukabainika una VVU hapo stresses unazichochea, na ukibainika uko salama inakupa nguvu ya kujikinga zaidi.
Ndugu yangu kama una dalili moja kati ya hizi Mungu akutie nguvu, maybe una ngoma

1. Kikohizi cha mara kwa Mara
2. Ngozi kupauka
3. Mipele mikubwa usoni
4. Vipele sehemu za siri au vidonda
5. Unakula vizuri ila mwili unazidi kupungua.
6. Macho maangavu(meupe) sana.
7. Mwili/ngozi kuwasha.
8. Mwili kuchoka haraka.
9. Nywele kukosa afya (kuwa nyepesi sana)

Note: Nime experience haya kupitia wagonjwa wa UKIMWI.

Hebu jikague mwenyewe hapo ulipo.
yaan we hamna kitu kabisa kwanza umeandika vitisho vitupu,waachen wenye weledi na haya mambo waelimishe jamii ipasavyo.
 
Back
Top Bottom