Baada ya ziara wizarani, jk ana ubavu wa kufika sokoni kariakoo kwa style ya 2006? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya ziara wizarani, jk ana ubavu wa kufika sokoni kariakoo kwa style ya 2006?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by POMPO, Mar 31, 2011.

 1. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Wakuu! Kama mtakumbuka JK enzi za boyzll men 2006, alipomaliza tu ziara wizarani, alifanya ziara ya ghafla pole sokoni kariakoo na kujikuta akishangiliwa sana. Akiwa na kauli mbiu mbili: "maisha bora kwa kila mtanzania" na "ajira kwa vijana inawezekana" na kuweka rekodi ya rais wa kwanza kufika pale, jana aliagiza bei ya nafaka mahidi ishuke akiwa wizarani why not at the market place like kariakoo? najiuliza kwa hali ilivyo sasa je ataweza kufika pale!?
   
 2. M

  Mkwakwasu Member

  #2
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona atapigwa manati.
   
Loading...