Baada ya yote

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Natafuta nyumba ndogo nzuri kabisa
Anayehitaji tuwasiliane PM

:peace::peace::peace::peace:
 
Kwani leo umamkaje Kimbweka nitaku PM maana naona unaelekea kubaya wenzio wanazikimbia wewe unazitafuta jamani hebu acha hizo utapata UKIMWI bure tulia na wako
 
mmh leo kimbweka una nini baba?
i post yako km ya 4 ivi
una hasira leo ...hahhhaa
apana bwana usifanye ivo
nyumba ndgo nikwa upotevu
achana na idea izo
KWANINI UMEAMUA KUSAKA SMAll HAUS IF I MAY ASK??????
 
mmh leo kimbweka una nini baba?
i post yako km ya 4 ivi
una hasira leo ...hahhhaa
apana bwana usifanye ivo
nyumba ndgo nikwa upotevu
achana na idea izo
KWANINI UMEAMUA KUSAKA SMAll HAUS IF I MAY ASK??????

Niionje na mimi
Nimechoka kusimuliwa
 
Jaribu ohio street, kinondoni rd, maeneo ya karibu hotel kuana vimwana wa kufa mtu mkuu humu utadanganywa sana.....!
 
mmh leo kimbweka una nini baba?
I post yako km ya 4 ivi
una hasira leo ...hahhhaa
apana bwana usifanye ivo
nyumba ndgo nikwa upotevu
achana na idea izo
kwanini umeamua kusaka small haus if i may ask??????

nahisi matatizo na mwenza wake ya mekomaa!
 
Jaribu ohio street, kinondoni rd, maeneo ya karibu hotel kuana vimwana wa kufa mtu mkuu humu utadanganywa sana.....!

Haya mkuu nipo mbioni, leo mimi na wao , wao na mimi mpaka kieleweke
 
aaaahhaaaa!!!!!!nimekushika sasa si nimekuuliza kibweka kwenye post yako y kufumaniwa ukafumba macho hukusema laki nimekushika leoo...njoo tanga vitoto teeeeeele huku...nsalmie bi mkubwa...kakunyimani kwani???:smile:
Natafuta nyumba ndogo nzuri kabisa
Anayehitaji tuwasiliane PM

:peace::peace::peace::peace:
 
aaaahhaaaa!!!!!!nimekushika sasa si nimekuuliza kibweka kwenye post yako y kufumaniwa ukafumba macho hukusema laki nimekushika leoo...njoo tanga vitoto teeeeeele huku...nsalmie bi mkubwa...kakunyimani kwani???:smile:

hahahah kweli umenifuma ngoja nikapige service mashine kesho saa sita naingia tanga, barabara ya ngapi mkuu?
 
KUMI NA NANE (18) HAPO BILA MATATA NGOJA NIKAWAAMBIE WAKANUNUE WANJA NA HENA :smile-big:
hahahah kweli umenifuma ngoja nikapige service mashine kesho saa sita naingia tanga, barabara ya ngapi mkuu?
 
aaaaahhh si hivyyyo bwana mi nina mdogo wanguuu huku dili hili mbona watutia mchanga wa macho kihivyoo mtu wangu??mi mtu tushaeelewana wenyewe acha hizo bana mdogo....ushaniaribia waooona sasa???hajibu???:doh::doh::doh:
Kama ni nyumba ndogo kweli!

Umechoka kuishi nadhani.

Unatafuta kifo kwa lazima.

si vema
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom