Baada ya Yondan na Barthez sasa Okwi nae kumwaga wino in next 72hrs!!

Nasikia Yanga wanamtaka na Machaku...Wanadhani zile goli 5 zitarudi kwa kumchukua Okwi, Yondani na Barthez...Njoo muwachukue akina Nyosso, Maftah, Kapombe na sie Simba tunaanza upya kwani bila Simba Okwi mngemuona wapi? Wanaisema yanga ni timu ya Wangese hakukosea nampongeza sana.

gori 2 na penat 3 wewe rage vp,. Huna hela kaa pembeni mpira pesa bwana so mabom
 
hao ndo wakina nani?
Wenzako wanasema wanawataka halafu wewe unajifanya huwajui, kaangalia upya zile clip za HAMSA, uangalie pasi za mwisho kwenda kwa Okwi huyo mnayemuona mwarobaini wenu wa HAMSA ndo utamjua Haruna Moshi ni nani.
 
Nasikia Yanga wanamtaka na Machaku...Wanadhani zile goli 5 zitarudi kwa kumchukua Okwi, Yondani na Barthez...Njoo muwachukue akina Nyosso, Maftah, Kapombe na sie Simba tunaanza upya kwani bila Simba Okwi mngemuona wapi? Wanaisema yanga ni timu ya Wangese hakukosea nampongeza sana.

ushabiki wa yanga na simba kaz kwel kweli..
 
mashabiki wa yanga wasen kweli yaani yana jivunia pesa za mwanaume, huyo maji atakuja kuwa taka nyie muwe wake zake..
 
Wenzako wanasema wanawataka halafu wewe unajifanya huwajui, kaangalia upya zile clip za HAMSA, uangalie pasi za mwisho kwenda kwa Okwi huyo mnayemuona mwarobaini wenu wa HAMSA ndo utamjua Haruna Moshi ni nani.

Haruna Moshi hatatufaa,sasa hivi Yanga safari za kwenda kupiga kambi kwenye ma'nchi ya watu zitakuwa nyingi sana,sasa asije kutuvalia makandambili yake kwenye misafara.
Halafu mkumbuke Kocha wetu mtarajiwa hapendi wavuta bhangi.
 
Tena siku hizi chujio wetu ameokoka hana mambo ya "kingesengese""ungese" wote kamwachia boban na maftah.
 
Kwa hiyo Chuji na Yondani mtawaacha tena, halafu mbaya zaidi Chuji alianzaga kutumia ule wa Colombia naona sijui aliacha na akaenda rehab gani kidogo sasa akili zimerudi zimebaki tu zile zile za mboga za majani za Iringa ambako Tarime kila kijana ana ekari ambayo amepanda hizo Mboga.
 
Tena siku hizi chujio wetu ameokoka hana mambo ya "kingesengese""ungese" wote kamwachia boban na maftah.
Mandieta za asubuhi? Jamani wachezaji wetu mkishawachukua muwatendee vizuri msije mkawapa elfu kumi kumi za kuacha nyumbani wakati wanaenda kucheza mechi muhimu dhidi ya Toto, Zile mboga za Iringa ukizichoma moshi wake ukivuta mara moja hadi miaka saba ndo uishe na hapo ndo akili inarudi kuwa ya kawaida, kwa hiyo Chuji kama ameacha inabidi aangalie alivuta mara ngapi azidishe mara saba jibu atakalopata ndo muda atakaokaa under influence ya hizo mbogo, si ajabu jibu lake akitumia calculator ikamwambia 'too large to display', hapo sasa sijui atakaa miaka mingapi.
 
Hahaha!
Mtani za asubuhi kamuulize jogoo.
Alafu inaonyesha umekasahau kale kamsemo ka-mfa maji aachi kutapatapa eheeee!
 
Mkuu baharia mzoefu hafi maji kizembe atahangaika na maji na maboya hadi meli ya waokoaji itakapofika, hivyo Simba na wanachama, na wapenzi na mashabiki wake ni mabaharia wazoefu, huu ni upepo tu wa uchaguzi wa watani utapita, walishindwa kulipa hotelini tu hadi wakamweka dereva ndo sasa wanajifanya wana hela, ngoja uchaguzi upite tuone hizi mbwembwe kama zitaendelea.
 
stay tuned na issue za azam fc karibu sana man!

Nyie Azam ndugu zetu tunawatakia kila la heri, yule dogo mkenya sijui Blakiberi ni balaa, akikaa upande wa kushoto halafu Kipre kulia tunaweza kuwapisha kwenye ubingwa sio hawa Ndala hata wakichukua ubingwa mechi zote za ugenini wanapigwa na nyumbani zote draw hawana maana kabisa, wao wanadhan Okwi ndo mwisho wa matatizo yao ya kufungwa na Azam mara nne mfululizo na kupewa mkono na Simba, mimi naombea wampate Okwi ili msimu utakapoanza wakose visingizio.
 
Mkuu baharia mzoefu hafi maji kizembe atahangaika na maji na maboya hadi meli ya waokoaji itakapofika, hivyo Simba na wanachama, na wapenzi na mashabiki wake ni mabaharia wazoefu, huu ni upepo tu wa uchaguzi wa watani utapita, walishindwa kulipa hotelini tu hadi wakamweka dereva ndo sasa wanajifanya wana hela, ngoja uchaguzi upite tuone hizi mbwembwe kama zitaendelea.
Hayo maneno ata kwenye kanga yapo mkuu!Alafu kuna tetesi zimeenea hapa town kwamba mnataka kujitoa kagame jee ni kweli?
 
Hiyo mimi sijaisikia, huo ndo ujinga wa viongozi wetu ningekuwa mimi kiongozi wala hata nisingefanya hiyo hujuma, mwaka jana tulikuwa na timu dhaifu kweli kabla hatujampata Sunzu, Okwi alikuwa kwenye majaribio SA, Mafisango naye alikuwa bado, Kapombe alikuwa hajashika kasi, Boban katoka kwenye kifungo lakini tulifika fainali, sijui kama Rage ameamua hivyo, sisi washabiki wa soka tutawaunga mkono Azam na kila siku uwanjani tupo.
 
Si mumpopoe au?
 
Back
Top Bottom