Baada ya Yaliyojiri Huko Katika Uchaguzi Igunga Mkakati wa Kujivua Gamba Bado Unamashiko

Tetere Enjiwa

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
217
65
Wengi wetu tumeshuhudia kitimutimu cha uchaguzi huko Igunga kilichosababishwa na kujivua gamba kwa RA. WanaJF hebu tudadavue kuwa huu mkakati ulikuwa ni muafaka kweli katika kuleta taswira bora ya ccm kwa jamii. Uchaguzi huu umeiimarisha ccm au umeidhoofisha mbele ya macho ya waTZ. Naomba tutoe maoni yetu kuhusu uwezo wa wabunifu wa mkakati huu wa kujivua gamba. Je mkakati huu utakua endelevu au ndio umekufa kifo cha asili baada tu ya kuanza kutekelezwa?
 
Back
Top Bottom