Baada ya Waziri Mkuu kujiuzulu akiwa madarakani, sasa huenda ikawa ni zamu ya Makamu wa Rais alie madarakani

Kabla ya kuteua jina la makamu wa Rais lazima kunafanyika background check ya mambo mengi; inapoonekana mtu Hana makandokando ndipo jina linapendekezwa. Mambo Mengi yaliyohusu fedha enzi za mwendazake , alikuwa anayashuhulikia yeye mwenyewe akishirikiana na Dotto ambate ndio alikuwa PAYMASTER GENERAL. Inasemekana mara nyingi Waziri wa fedha alikuwa bypassed!!! Hivyo usitegee smoking gun itakayomchafua Mpango kutokana na special Audit ya BOT.
Comment bora
 
Mkuu inashangaza kidogo kwamba tz yenye watu ml 50 hatuna uwezo wa wakupata watu Safi kwa nafasi nyeti mpaka wale wale,baba ,mtoto, mjukuu, hata kitukuu, hii nitabia mbaya Sana na inakela, afrika tulisha zikwa ,ile kitu mfumo wa kimtandao watutafuna Sana, that's may be mungu hakukosea kutupa ngonzi nyeusi nasema maana Kama mungu mmoja why akatenga ngonzi ,macho,nywele ndefu KWA wengine kuliko sie
Eti hadi mtu apishe uchunguzi kwa kifo
 
Majaliwa ajiuzulu Mara moja ili ampe nafasi mama aunde serikali yake, Kama mama atampenda atamrudisha Tena na sio kulazimisha
 
Back
Top Bottom