Baada ya Wanaume wengi wa Tanzania kuwa Utopolo Vitandani, Wanawake wakimbilia Mimba za Kupandikiza Muhimbili

Mightier

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
5,579
2,000
Tukiwaonyeni kuwa acheni sana Kutumia Vumbi la Congo kwani lina madhara makubwa Kwenu hamtusikii.

Tukiwaonya acheni kupenda Kula Chips Mayai na Kuku wa Maabara pamoja na Mayonaizi pia hamtuelewi.

Tukiwaambia acheni Kuchepuka hovyo na kuwa na Mademu kila Kona kwani wanaathiri pia Nguvu bado hamtuelewi tu.

Haya sasa imefahamika kuwa kila Siku Wanawake Wanne wanaenda Hospitali ya Muhimbili ili Kupandikizwa Mimba na Maabara baada ya Wanaume wengi ( siyo Krav Maga ) kugundulika kuwa na tatizo la Nguvu za Kiume zinazoweza Kutunga Mimba.

Habari Kamili Nipashe Ukurasa wa Pili.
 
Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
29,028
2,000
Kwajinsi ninavyo ona mimi, hata hao wanne naona kama ni wachache sana huko Daslam...😎
 
mandawa

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
287
250
Jamani sasa kama leo wanaume wanaishiwa nguvu vipi watoto wetu tunawawalisha viepe...bagger..breakfast yai bin conflex..tukijua ni afya kumbe tunawaua. Jamani inabidi tupate elimu juu ya afya njema ya uzazi mapema kuikoa uzao wetu!
 
Suip

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,179
2,000
Tukiwaonyeni kuwa acheni sana Kutumia Vumbi la Congo kwani lina madhara makubwa Kwenu hamtusikii.

Tukiwaonya acheni kupenda Kula Chips Mayai na Kuku wa Maabara pamoja na Mayonaizi pia hamtuelewi.

Tukiwaambia acheni Kuchepuka hovyo na kuwa na Mademu kila Kona kwani wanaathiri pia Nguvu bado hamtuelewi tu.

Haya sasa imefahamika kuwa kila Siku Wanawake Wanne wanaenda Hospitali ya Muhimbili ili Kupandikizwa Mimba na Maabara baada ya Wanaume wengi ( siyo Krav Maga ) kugundulika kuwa na tatizo la Nguvu za Kiume zinazoweza Kutunga Mimba.

Habari Kamili Nipashe Ukurasa wa Pili.
Suala la kukosa nguvu ya kiume haiwezi mfanya mwanaume kushindwa kutungisha mimba mwanamke,na pia kuwa na nguvu ya kiume si kuwa na uwezo wa kumtungisha mimba mwanamke.Ni suala mbegu za mwanaume kuwa butu au sterile.
 
Ravalomanana

JF-Expert Member
Sep 8, 2018
763
1,000
Tukiwaonyeni kuwa acheni sana Kutumia Vumbi la Congo kwani lina madhara makubwa Kwenu hamtusikii.

Tukiwaonya acheni kupenda Kula Chips Mayai na Kuku wa Maabara pamoja na Mayonaizi pia hamtuelewi.

Tukiwaambia acheni Kuchepuka hovyo na kuwa na Mademu kila Kona kwani wanaathiri pia Nguvu bado hamtuelewi tu.

Haya sasa imefahamika kuwa kila Siku Wanawake Wanne wanaenda Hospitali ya Muhimbili ili Kupandikizwa Mimba na Maabara baada ya Wanaume wengi ( siyo Krav Maga ) kugundulika kuwa na tatizo la Nguvu za Kiume zinazoweza Kutunga Mimba.

Habari Kamili Nipashe Ukurasa wa Pili.
Kushindwa kumpa mimba mwanamke na ukosefu wa nguvu za kiume ni vitu viwili tofauti, waweza kua imara kama simba kitandani na usiweze kumpa mimba mwanamke
 
Mnyatiaji

JF-Expert Member
Dec 13, 2018
2,955
2,000
Tukiwaonyeni kuwa acheni sana Kutumia Vumbi la Congo kwani lina madhara makubwa Kwenu hamtusikii.

Tukiwaonya acheni kupenda Kula Chips Mayai na Kuku wa Maabara pamoja na Mayonaizi pia hamtuelewi.

Tukiwaambia acheni Kuchepuka hovyo na kuwa na Mademu kila Kona kwani wanaathiri pia Nguvu bado hamtuelewi tu.

Haya sasa imefahamika kuwa kila Siku Wanawake Wanne wanaenda Hospitali ya Muhimbili ili Kupandikizwa Mimba na Maabara baada ya Wanaume wengi ( siyo Krav Maga ) kugundulika kuwa na tatizo la Nguvu za Kiume zinazoweza Kutunga Mimba.

Habari Kamili Nipashe Ukurasa wa Pili.
hao wanawake ni wakishua watu wa uswahilini hiyo pesa ya pandikizi anatoa wap
 
Mnyatiaji

JF-Expert Member
Dec 13, 2018
2,955
2,000
Tukiwaonyeni kuwa acheni sana Kutumia Vumbi la Congo kwani lina madhara makubwa Kwenu hamtusikii.

Tukiwaonya acheni kupenda Kula Chips Mayai na Kuku wa Maabara pamoja na Mayonaizi pia hamtuelewi.

Tukiwaambia acheni Kuchepuka hovyo na kuwa na Mademu kila Kona kwani wanaathiri pia Nguvu bado hamtuelewi tu.

Haya sasa imefahamika kuwa kila Siku Wanawake Wanne wanaenda Hospitali ya Muhimbili ili Kupandikizwa Mimba na Maabara baada ya Wanaume wengi ( siyo Krav Maga ) kugundulika kuwa na tatizo la Nguvu za Kiume zinazoweza Kutunga Mimba.

Habari Kamili Nipashe Ukurasa wa Pili.
research pia haija specify ni wanawake wa umri upi wengi wanapandikiza
 
DIUNATION

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
2,433
2,000
Mpaka kuolewa umekanyagwa na wanaume zaidi ya 20 wenye mipini tofauti tofauti halafu uje unichoshe mimi kuliridhisha pango hilo..
 
kina kirefu

JF-Expert Member
Dec 14, 2018
3,697
2,000
acha utoto wako,kwenda kupandikiza mimba sio kesi yawanaume kutokua na uwezo kurutubisha yai lamwanamke...hukutakiwa kuja na hukumu mojakwamoja,vipi kuhusu shida zaowao wanawake wenye shida kwenye mirija yao ya uzazi....ningesema hapa ngoja kwaleo niwe mpole.ila usirudie kuhukumu nawanawake acheni sana kuutumia ujana wenu vibaya,maduka ya madawa baridi wanauza sana madawa yakutolea mimba hovyo

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom