Elections 2010 Baada ya walk out chadema should send a report to donors and international community

DENYO

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
698
57
Kwa sababu ccm ni wabishi na wanataka kuendeleza uchakachuaji, na kwa kuwa ili chadema iwahudumie vema watanzania, naamini ambaye yupo karibu na uongozi afikishe ombi la watanzania tunaochukia uchakachuaji kwamba ripoti ya hatua ya kugoma na uchakachuaji wa kura na vielelezo vipelekwe kwa nchi wahisani, donors and international community huku ikiambatanisha vielezo vya uchakachuaji wa kura kwa kuonesha kura halali from polling station na kura za nec ya kikwete. Tunaamini kwa kufanya hivyo ni hatua sahihi ya pili katika juhudi za kupata mambo matatu muhimu; 1. Tume huru kuchunguza tuhuma za wizi 2. Tume huru ya uchaguzi 3. Mchakato wa katiba mpya -kwa kuyapata haya chadema itakuwa imetuwakilisha kwa asilimia 100%, hiyo ndiyo kazi kubwa mbele ya chadema -tukiweza haya-maji, barabara, bei nzuri za vyakula, ufugaji bora, elimu bora, ardhi kwa wote, haki sawa, huduma bora ya afya itawezekana na ndio utakuwa ukombozi wa tanzania
 
Spot on!

Wanatakiwa pia waweke matokeo ya kila kituo kwenye website yao. Hii nadhani haivunja sheria yoyote ya nchi.
 
Spot on!

Wanatakiwa pia waweke matokeo ya kila kituo kwenye website yao. Hii nadhani haivunja sheria yoyote ya nchi.


Hili Watanzania wengi wanasubiri na CHADEMA wataongeza umaarufu wao maradufu na wapenda haki ambao ni 90% ya watanzania watawaunga mkono kwa kiwango kikubwa.
 
Back
Top Bottom