Baada ya wachina kuwakomalia Zambia kwa kushindwa kulipa deni, Rais Magufuli asema Tanzania kukopa harusi na kulipa harusi

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
752
3,094
Hii imetokea siku chache baada ya China kuwakomalia Zambia baada ya kukopa na kushindwa kulipa kwa wakati hivyo kujikuta wachina wakichukua shirika la umeme Zambia.

Rais Magufuli akiwa ziarani mkoani Simiyu amesema...

Nakukuu: "Kukopa harusi, kulipa matanga lakini kwetu sisi Tanzania kukopa harusi na kulipa ni harusi, sio matanga. Ndio maana wafadhili wanaendelea kutukopesha"

DmkoEqDX0AA-c-Z.jpg


 
Ila mishahara haupandi, madeni ya Waalimu na wakandarasi nayo yako reserve!!

Akishastaafu tutakuwa tunawekewa hotuba za yule jamaa anayejigamba kuwa chizi kweli kweli, mara mshenzi?!
Nyerere ni mmoja tu, wanafiki muache unafiki wa kumlinganisha!!
 
Rais kutoka kwa Mola walahi!
Mama Tanzania ni kichwa hawezi kuwa mkia hata mara mmoja walahi!
Believe me!
That’s all
 
Tatizo sio kudaiwa, tatizo ni msuli mkuu. Hivi China inaweza kuzuia mali ya Mmarekani hata kama wanamdai .?
 
Waliochukua gesi yetu si madeni hayohayo!?. Unatoa kibanzi unaacha boriti.
 
Back
Top Bottom