Baada ya wachawi kunilisha nyama usiku wa manane sasa wananilisha matembele

themagnificient

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
1,021
3,654
Wakuu kwa kipindi kirefu nilikuwa nikichukuliwa na wachawi usiku huku wakinilisha nyama mbichi lakini sasa wamegeuza kibao wananilisha matembele hii ipo vipi?

Ni uchumi auu?
 
Shukuru umepata hata hayo matembele, kuna wenzako wanatumika bure bila kupewa chochote hali ni mbaya
 
Back
Top Bottom