Baada ya Voda kushindwa kuuza hisa, Wageni kuruhusiwa kununua.

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,495
2,250
Kampuni ya Voda sasa imeonekana kushindwa kuuza hisa zake katika soko la DSE, hii ni baada ya kuongeza muda wa mauzo ya awali kwa wiki 3, kisha kusogoze muda wa kuwekwa sokoni kwa karibia mwezi sasa. Bado haijulikani ni lini hisa hizo zitaingia sokoni.

Sasa serikali imeamua kuruhusu wageni na kampuni za kigeni kununua hisa katika DSE ili kuzinusuru kampuni za mawasiliano zinazotakiwa kuuza asilimia 25 ya hisa zao.
Badilisho hilo la sheria limetolewa na Waziri wa Fedha Dr Phillip Mpango bungeni, pia sheria hiyo itaondoa ulazima wa kuuza hisa kwa kampuni ndogo za mawasiliano.

Hili linapingana moja kwa moja na nia ya awali ya kuwaruhusu watanzania kushiriki katika faida ya haya makampuni. Naona tumezungukwa hapa!

Tanzania Opens Telecom IPOs to Foreigners
 
Kwa hizi sera za serikali ya sasa hata wawakaribishe wa inuit hawawezi kuja kununua hisa DSE.
 
Pesa wamezbania huko
B.o.t wanafkr tutanunua na
Vidole hzo hisa
 
Back
Top Bottom