Baada ya Vita ya 1978 – 1979 kwanini Tanzania ya sasa tusiichokoze tena nchi yoyote Jirani ili tuwapime Askari wetu na Silaha zetu?

Mimi nafikiri tumchokoze Mrussi maana tuko vizuri sana..
Acha utani bana. tuko serious!
wewe unataka m- Russia acheke maisha yake yooote. tena ataacha mambo ya vita kabisaaa! ananawa mikono,
hatasumbuka kutuma hata watoto zao wa kike na silaha za moto.

Vikijazwa vichangu Doa vya ki -Russia typical, vyeupeee, nywele mpaka mgongoni, yaani kuanzia miaka (15-20yrs by age), tani moja tu, nakwambia Makomandoo wetu tegemewa wote na Majemedari wooote wa JWTZ , Wabunge, Mawaziri, wote watagombania na kutupa silaha chini. vikao vya Kujadili vita bungeni havitakalika tena, Guest House zoote Bara mpaka Pwani zitakuwa ni pamba moto shambulia. zitajaa ni acha kabisa. sasa hapo M- Russia hajacheka bado mpaka ajinyee?
 
Wewe una pepo wachafu wanaokusumbua,unaomba vita!Hujui athari za vita wewe,usiombe it is terrible.Tuliokuwepo wakati wa vita ya Idd Amin tunajua what it means,na ile haikuwa kiwango cha Syria,Iraq au Yemen.Athari za vita ni mbaya sana mkuu.Acha vita ije kwa bahati mbaya,ingawa kiuhalisia hakuna vita ya bahati mbaya.All wars are initiated for a purpose.
Nasikia watu hasa wa kiume walikuwa wanashinda porini kuepuka wasichukuliwe vitan.
Kama una ng'ombe 10 wanabeba 8 unabaki na 2, ukiw na duka wanabeba ngano, unga na hela kwenda kusapot walioko vitani!!!

Sitaman vita ***** ndo vilinifikisha TZ kutokana na wazee kukimbia vita nchi 1 hiv!!
 
Ni kweli mkuu,watu tuliopitia JKT wakati huo tulikuwa na wasi wasi sana,si unajua vita tena.Ila niliapa kwamba kama nikienda,lazima vichwa hamsini vya wavamizi nivipate.Kwa bahati sikwenda.

Anyway pole na karibu sana mkuu, mbona hata sisi tunaojiita Watanzania tulihamia tu humu zamani hizo.Feel at home kama umeshapata uraia.
 
Nishapata mkuu..saiz naish kihalal kabisa
 
Vita sio lelemama tuulize sisi tuliokuwepo miaka hiyo, miaka hiyo watu walikuwa wanaipenda nchi na uongozi wake, sasa hivi kwa uongozi huu nani ataenda vitani labda UVCCM peke yao
Vita waisikie redioni na kusoma magazetini. Wengi wa wanaosalia (kutok uwanja wa vita) huwa wanaathirika kisaikolojia kwa kiwango kikubwa. Hatujazungumzia kupoteza ndgu jamaa na marafiki. Bado kuikosa hata miili ya wapendwa wako. Bado hujajeruhiwa na ama kuwa mlemavu wa maisha. Vita ni vita mura. Hata iwe ya mkuki na sime, usijaribu
 
Naam..kwa mantiki hiyo ya mwanasaikolijia wako natamani nipate 'mechi' au pambano na wewe, maana unaonekana ni mwanaume wa dar uliyedekezwa dekezwa hivi kwenye malezi yako. maana unaongea maneno ya shombo shombo na matusi humu jukwaani, ntahakikisha nakuchapa kenge wewe huwezi kukaa kindezi alafu unaomba nchi iingie vitani
 
Kama una hamu ya vita toa watoto wako pamoja na mke wako hafu mgawane mawe muanze kupondana hiyo ni vita tosha Mkuu.

Mwenye ngeu chache ndo bingwa.Fita ni fita Muraa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom