Baada ya vikwazo vya Marekani, Huawei kutumia Mediatek chip kuanzia 2021

Wewe vitu vingi bado huvielewi. 5G haijagunduliwa, ni teknolojia ile ile ya 3G, 4G na kuendelea.

Unaposema 5G imegunduliwa na China inaonyesha kabisa kuna vitu huelewi.
Duh mkuu wewe endelea tu kufukua makaburi huku kwenye mambo ya tech waachie wataalamu.

So kwako 3G, 4G na 5G ni kitu kimoja, aiseee nimeamini kujisomea ni muhimu.....

Hebu ingia hata Google ujisomee kujua tofauti
 
Huawei saivi itakuwa inashindana na techno, itel, oppo, mediatek wenzake, zote zitakuwa zinakuja African.

Saiv watashindana tu kubadili ukubwa wa screen, camera, body, ila durability ya simu hamna kitu dah mbaya sana
 
Mfano Hali ni uundwaji wa nuclear weapon 75% ya top best scientists walikuwa wayaudi Sasa sisi wa Africa ambao tunapenda mambo ya babu kunoga na waganga wakienyeji sijui tutatokea wapi?
Wazee wa Propaganda naona mpo kazini.

Hakuna Nchi yoyote duniani yenye uwezo wa kuwa na Vinu vya Nyuklia bila Involvement ya Japan sio Marekani, Sio Iran, Sio urusi wala China. Unless itumie tech za zama za kale.

JAPAN steel ndio kampuni pekee duniani yenye uwezo wa kutengeneza Chuma kinachokaa katikati ya Kinu cha Nyuklia bila kuunganisha vipande vipande.

Ndio maana Nchi kama Iran na Marekani japo ni Maadui wana Common friend ambaye ni Japan.

Leo Ukienda Marekani unakuta Makampuni Kama Hitachi ama Toshiba ndio yanachakata kwenye hivyo vinu. Je hawa Usa hawajui kama Israel wana Exist kwanini wanawategemea hawa Japan kwenye sector muhimu kama hii?

Usa na China wote ni wazee wa Hypes na propaganda include hao Israel, wanajua tu kubwabwaja kwenye media, kubrainwash watu, kununua wana habari na kujisifia ila kuna Nchi nyingi sana za Ulaya Na Japan ambazo zina Technology Advanced zaidi kushinda wao.
 
Nakuunga mkono, kwenye maswala ya high tech materials kama vifaa ya kuunda semiconductor JAPAN ni muuzaji mkubwa.

Sasa makampuni ya korea kusini yanahaha baada ya japan kuzuia biashara na korea, maana kama samsung na Lg wanaitegemea materials toka japan kuunda chips.

Lakini jamaa wapo cool hakuna kelele za kujisifia.
 
Duh mkuu wewe endelea tu kufukua makaburi huku kwenye mambo ya tech waachie wataalamu.

So kwako 3G, 4G na 5G ni kitu kimoja, aiseee nimeamini kujisomea ni muhimu.....

Hebu ingia hata Google ujisomee kujua tofauti
Wewe akili huna.

Ni sawa na kusema simu ya mkononi ni tofauti na simu ya mezani. Au simu ya mwaka 1974 aliyotengeneza Dr. Cooper sio sawa na Samsung Galaxy Note 20 inayotegemea kutoka hivi karibuni. Kisa ile ilikua na kilo 5 na hii ni gram 200.

Hizo zote teknolojia ni moja ila zinatofautiana speed, kuongeza bandwidth na mambo kama hayo.

Sasa mataahira kama nyie mnafikiri 5G ni kitu kimeibuka kipya kutoka mbinguni.

Baada ya teknolojia moja kugunduliwa hua na changamoto mbali mbali, watu huingia kwenye utafiti ili kuboresha na kuongeza ufanisi wa hiyo teknolojia na kuipa jina jipya ila origin yake ni ile ile.

Ndio maana baadhi ya makampuni yameanza utafiti dhidi ya 6G ili kuiongezea ubora zaidi kuliko 5G.

Wewe huna chochote unachokijua mimi sikijui. Zaidi ujifunze kutoka kwangu.
 
Shoga anayehakikisha baba yako kijijini anapewa dawa za ... bure
Hahaha duniani tunategemeana na kusaidiana hivyo kitendo cha kumnyima mwenzako kitu Fulani either kwa maslahi fulani ,Mungu atainua wengine apunguze kiburi ulichonacho....
 
Wazee wa Propaganda naona mpo kazini.

Hakuna Nchi yoyote duniani yenye uwezo wa kuwa na Vinu vya Nyuklia bila Involvement ya Japan sio Marekani, Sio Iran, Sio urusi wala China. Unless itumie tech za zama za kale.

JAPAN steel ndio kampuni pekee duniani yenye uwezo wa kutengeneza Chuma kinachokaa katikati ya Kinu cha Nyuklia bila kuunganisha vipande vipande.

Ndio maana Nchi kama Iran na Marekani japo ni Maadui wana Common friend ambaye ni Japan.

Leo Ukienda Marekani unakuta Makampuni Kama Hitachi ama Toshiba ndio yanachakata kwenye hivyo vinu. Je hawa Usa hawajui kama Israel wana Exist kwanini wanawategemea hawa Japan kwenye sector muhimu kama hii?

Usa na China wote ni wazee wa Hypes na propaganda include hao Israel, wanajua tu kubwabwaja kwenye media, kubrainwash watu, kununua wana habari na kujisifia ila kuna Nchi nyingi sana za Ulaya Na Japan ambazo zina Technology Advanced zaidi kushinda wao.
Acha ujinga wewe Japan ni dogo lake USA sawa. hi ilitokea baada ya mmarekani kumpiga mjapan kipigo Cha hatari ndio wakasema wataanza kushare technology ili kupunguza makali dhidi ya hasara ya heroshima na Nagasaki. Hiyo steel inayosema inakaa katika ya kinu alikudanganya Nani? Niambie anaitwaje maana mm kwa uwelewa wangu katikati ya kinu inakaa graphite Sasa sijui hiyo steel ina wapi?
 
Huawei aachane na Mobile Phone division.

Huku wameshampiga pini kila mahala, kuanzia software hadi hardware.

Akomae na mitambo ya 5G.
 
Acha ujinga wewe Japan ni dogo lake USA sawa. hi ilitokea baada ya mmarekani kumpiga mjapan kipigo Cha hatari ndio wakasema wataanza kushare technology ili kupunguza makali dhidi ya hasara ya heroshima na Nagasaki. Hiyo steel inayosema inakaa katika ya kinu alikudanganya Nani? Niambie anaitwaje maana mm kwa uwelewa wangu katikati ya kinu inakaa graphite Sasa sijui hiyo steel ina wapi?
wewe endelea kuishi miaka 50 iliopita, technology inakuwa kwa kasi sana, miaka 30 iliopita ukizungumzia mambo ya network unataja makampuni kibao ya Marekani, leo hii hali imebadilika kina Motorola, lucent etc wote hawapo na ameshindwa vibaya sana Race ya 5g.

kila kitu cha marekani unachogusa sasa hivi asili yake ni japan, kuanzia ndege kama Boeing, uje simu kama iphone, nenda processor kina intel na amd na silicon zao, nenda energy kama hizo nuclear na mambo mengi tu asili yake ni Japan, JApan anamaliza tech ngumu wao wanakuja kupachika.

haya si maneno yangu, huyu jamaa ni mmarekani tena yupo jeshini amefanya utafiti wake soma hii habari forbes.
It Is Japan, Not The U.S., That Leads In Serious Technology, Says Top Reagan Technology Advisor

kuhusu hio steel ya Nuclear source yangu hii hapa
Japan Steel Works - Wikipedia
kuna viwanda 5 tu duniani vya chuma cha nuclear, kimoja urusi, kimoja ufaransa, viwili china na hio Japan steel, lakini vyote hivyo hakuna hata kimoja kinachoweza kutengeneza kinu bila kuunga vipande vipande, Japan steel pekee ndio wanaweza na kureduce risk kubwa ya radiation kuvuja.

ukitaka pia chochote huko juu nilichoongea nitakupa source
 
Mkuu unajua npk baasi
 
Back
Top Bottom