Baada ya vikwazo vya Marekani, Huawei kutumia Mediatek chip kuanzia 2021

Umesahau hata samsung ametumia mtk, mfano Galaxy A10s, na Nokia pia 5.1 na nyingine pia nyingi za kitambo hata kabla ya p22
mkuu hakuna anaekataa mediatek ana low end soc nzuri, hapa tunazungumzia Huawei kampuni inayosifika kwa flagship, mate 40, p40 etc, kuna mediatek gani inafit hizo simu?
 
Hawana chochote cha kukimbiza watu, labda huawei amwage mpunga watu wafanye tafiti zaidi, mwaka sijui wa ngapi huu mediatek hana flagship soc, mara ya mwisho ilikuwa ni p25 miaka zaidi ya mitano iliopita.
Ametoa May mwaka huu mkuu...inaitaa mediatek dimensity 1000 kama nakumbuka jina vizuri.
 
Sidhani hata kama mediatek wanauwezo wa kutengeneza soc bila technology za marekani, mpaka leo hawatoi source code za chip zao sababu tech sio yao na wana makubaliano ya kuificha, ni muda tu na wao pia watafungiwa.
TSC company nao wanatumia tech na vifaa vya Marekani so ni ngumu huawei kutumia mediatek kwa ajili Soc zao sababu zilezile kama za samsung kutowauzia exynos kama mbadala wa hisilcon kirin.
 
Technolojia haiendi kiushabiki kama tunavyochukulia hapa jf kama vile ligi za mpira. Na haimaanishi kwamba basi marekani ndio ameshikilia kila kitu. Wachina hawalali na walishafikiria hili suala muda sana. Hatua zilishaanza muda na kina oppo na huawei walishaanza kujihami na kujiwekea misingi kwaajili ya hali kama hii isiwaangushe kibiashara.
Haya mambo hayahitaji ushabiki.

Sasa wewe unaongea nadharia.

Simu yoyote ukiiona hapa Duniani ujue 95% au zaidi ina teknoloji ya kimarekani.

Sasa hao oppo sijui Huawei wataibuka na teknolojia yao ya simu wataitoa wapi?

Haya mambo sio ya man u na Chelsea
 
Haya mambo hayahitaji ushabiki.

Sasa wewe unaongea nadharia.

Simu yoyote ukiiona hapa Duniani ujue 95% au zaidi ina teknoloji ya kimarekani.

Sasa hao oppo sijui Huawei wataibuka na teknolojia yao ya simu wataitoa wapi?

Haya mambo sio ya man u na Chelsea
Huwezi hata kuona invention ya 5G Imeanzia wapi. Wao wachina walitoa wapi hiyo technology kama ni ya mmarekani
 
Huwezi hata kuona invention ya 5G Imeanzia wapi. Wao wachina walitoa wapi hiyo technology kama ni ya mmarekani
Wewe vitu vingi bado huvielewi. 5G haijagunduliwa, ni teknolojia ile ile ya 3G, 4G na kuendelea.

Unaposema 5G imegunduliwa na China inaonyesha kabisa kuna vitu huelewi.
 
Huawei bado ni cm imara na inatishia kibiashara makampuni ya Apple na Samsung na ndio maana us waliangalia future ya maslah yao wakaamua kuweka saction kwa huawei.
 
Kwamba akagombanie mpira na akina itel,tecno,oppo n the like.

Simu zote zinazotumia mediatek bila kujali ni daraja gani,ndizo zinauzwa bei mbuzi sababu nguvu haba.

Baada ya huawei kujitutumua na kukimbia asili anayofanana nayo miaka kibao kisha kufanikiwa kuzalisha simu viwango,ghafla anarudi 0.

Hata huwa nashangaa wanaoipamba china kwa marekani huwa wanawaza nini,kama mambo yenyewe ndio haya ya shoka moja,mbuyu chini
Chinese bado sana kwa mzungu wa USA. Anajitutumua upuuuzi tuuuuu, akipambana akizuiwa asitumie Android anakua amekufa kwa mara ya pili
 
Ametoa May mwaka huu mkuu...inaitaa mediatek dimensity 1000 kama nakumbuka jina vizuri.
Iliotoka may ni Dimensity 1000+, dimensity 1000 imezinduliwa Toka November 2019 na mpaka leo imetumika sijui simu tu ya Oppo, Na wao kwao ni flagship ila huwezi kuiweka kundi moja na flagship za sasa, Hata kwenye uzinduzi wao walikuwa wanai compare na sd 855.

1. Bado inatumia Ddr4x ram Exynos na Snapdragon wapo muda tu ddr5.

2. Adreno 650 ni waay powerfull compare na Mali G77 mp11 ya kwenye Exynos, kuna Bnechmarks kama ice storm Adreno ni zaidi ya mara 2 ina nguvu zaidi.

Dimensity 1000 inatumia hio hio G77 lakini wamepunguza core wao wanatumia 9, G77 mp9 ambayo ni dhaifu zaidi.

3. Ukiangalia speed za modem, camera, Cpu, na mambo mengi ya soc imepitwa Kila Idara, ndio maana hakuna Oem yoyote anaesumbuka nayo mwezi wa 7 huu.
 
Kuna projects zimefanyika katika dunia mpaka kesho ni ngumu mataifa mengi sana kuiga mfano android, window, ATM software, Coca-Cola, IOS, iPhone, Wikipedia, Facebook, Instagram, Snapchat, na hayo mataka taka yote yanatokea pale Silicon valley California, vaccines za binadamu na mifugo, GMO, Google, Maps na madude mengi. Ivi huyo mchina kama apigi magoti kwa mzungu atatengeneza simu gani isyokuwa na izo software akauza apa dunia hiii ya nyoka
 
Mmarekani kupitwa sio Jambo gumu ila nikikumbuka wayahudi ndio wanao ibeba mm binafsi Nina nyosha mikono juu yakwamba hakuna taifa litakalo weza kuipindua marekani labda iwe Israel yenyewe
 
M'marekani ni muonevu sana k*uma yule..... Yaani yeye anapenda awe juu yeye tu. Sasa hapo ameona gere kuwa jamaa anatoboa kwenye soko la simu maana huwawei imeshaanza kumpumulia kisogoni IPhone kwenye mauzo na masoko....
 
Mfano Hali ni uundwaji wa nuclear weapon 75% ya top best scientists walikuwa wayaudi Sasa sisi wa Africa ambao tunapenda mambo ya babu kunoga na waganga wakienyeji sijui tutatokea wapi?
 
Wamarekani wameshindwa fair competetion. Ila huawei ana simu kali sana aisee
Huyu m'marekani ni choko tu. Anataka yeye tu ndie apate.....anasema free and fair competition but yeye ndie ashinde sio wenzake...... Hata kwenye democracy ni kwa wenzake tu ila yeye hataki kuingiliwa..... Choko sana huyu.......


Huwawei inafanya vema sana sim zake zinaanza kuwa tishio kwa soko la iPhone na Samsung.
 
Back
Top Bottom