Tunaolalamika wengi tupo maeneo Yale Yale ya zamani. Na tupo maneno tofauti.
Tunaolalamika wengi tupo maeneo Yale Yale ya zamani. Na tupo maneno tofauti.
Speed imekuwa mbovu sana toka majuzi kwa vufurushi vipya. Vifurushi vya ya kwako tu vipi vilevile ila vinategemea na simcard. Simcard yangu hainiruhusu kupata data zaidi ya mb300. Ila Jamaa yangu anapata 1gb na speed ipo kama zamani.
So suala sio location. Naomba wale wanaosema tatizo ni location basi wawe wanasoma uzi Kwanzia mwanzo.
Nimejiunga kifurushi ya siku 3. Hakiishi.VODA com watafanya niikoseshe serikali Maputo. Maana nitakuwa job less, sifanyi kazi, kazi za ofisini kwangu zinahitaji internet yenye speed nzuri, sasa mm toka juzi nashindwa kufanya kazi itakuwaje mapato ya serikali? Bora tu nirudi nichukue kitamblisho cha wajasiria Mali nirudi Kwenye Umachinga.
Inchi yetu haiendani na technology inavyokuwa,
mkuu nani kakubishia sasa elewa wachosema watu ni baada ya hizi bundle speed imepunguwa sana
Tigo wwMbona hapa Mwanza Vodacom ndio mtandao Wenye kasi zaidi ya huduma ya internet?
Ilikuwa ni issue ya bundle wame-throttle speed. Nimemaliza hilo bundle la Jimwage kwa kudownload hata upumbavu. Nimerudi kwenye bundles za kawaidaYes now that is a fair and just comparison.
Vodacom LTE sio ya spidi hiyo.
At the moment nabaki na halotel. Even though wanathrottle network ifikapo usiku, hali sio mbaya kiasi hicho, na upload haiwi throttled inabaki 30Mbps.
Mchana download ni 50Mbps. Usiku 3Mbps
View attachment 1358294
Wamekata speed hivi vifurushi vipya vya bei chee... Nilinunua GB 20 nimejuta. Siwezi jiunga kingine, na hiki kilikuwa hakitaki kuisha.Vifurushi vingine mfano ya kwako tu na vyenyewe vina spidi hiyo hiyo ya kinyonga au ni hicho kifurushi kipya cheap tu.
Yani wamekata speed kwa wote au wanunuaji wa hivyo vifurushi vya bei ndogo tu ndio wamekatiwa?
Nimejiunga kifurushi ya siku 3. Hakiishi.
Muda ukiisha narudi smile.