Baada ya video kuvuja utofauti wa Nigeria social network vs Tanzania waonekana

Dada zangu siku hizi wagumu kuelewa na wavulana wanao kutana nao ni malimbukeni, sijui kwa nini wanapenda kuwafanyia hivi wanawake.
Mbona zipo nying tu wadada wana record wao ; kuvuja kwa hiz hakuna uhusiano na gender
 
Tiwa alisema bf wake alipost Snapchat bahati mbaya akaifuta akiwa ameshachelewa, aliyevujisha aliomba pesa ili akaushe aliponyimwa akasala kama hivo.......sio kwamba hajulikani
Duh, najaribu kuvaa viatu vya jamaa...ile hali inayokukuta unapojihisi umekosea kutuma sms.

Pale mmegawana pesa mkamuacha Mshikaji alafu ile sms ya "nimekutumia laki mbili huyu mse.. temana nae"....mara baada ya ku press send unagundua umemtumia huyo huyo mnayemsema.

Unless other wise huyo Jamaa kafanya makusudi tu, maana Binadamu nao bana si wa kuwaamini 100%.
 
Mbona kuwadharau Watanzania wenzio? Kwani aliyerecord izo video ni mtanzania? Aliyesambaza ni Mtanzania?

Wanyengane wao, wasambaze wao, alafu wawe wastarabu tena kutuzidi?

Kama wangekuwa wastarabu hao wanaijeria basi Mimi na wewe Leo tusingekuwa tunazungumzia habari za iyo video hapa. Izo zinazoendelea huko ni pole za kinafiki. Mtu anakupa pole alafu anachungulia mzigo kidogo
anakupa pole halafu anachungulia kidogo, hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom