Baada ya uzinduzi wa Royal Tour USA. Rais Samia fanya ziara kwenye nchi za EU

Lady Mwali

Senior Member
Nov 15, 2018
147
332
Kwanza Rais wa JMT nakupongeza kwa jitihada zako za kupigania maisha ya Watanzania.

Nimefurahishwa sana na wazo lako la filamu inayotangaza vivutio vya utalii nchini.

Ziara yako Marekani ni nyenzo kuu ya kuinua uchumi wa Tanzania katika utalii na uwekezaji.

Hakika Rais wewe ni zawadi kwa Watanzania katika maisha mazuri.

Naomba ufanye tena ziara ya kutembelea nchi za Ulaya uzidi kuitangaza filamu hii.Itakuwa si vizuri usifanye ziara Ufaransa, Italia, Spain, Ujerumani, Ubelgiji, Uholanzi, Uswisi, Lexembourg, Urusi na usisahau Canada.

Puuza maneno ya watu yasiyokuwa na tija. Miezi 6 inatosha kutembelea nchi zote maana faida ya ziara yako Ulaya itakuwa kubwa kuliko gharama.

Umezitenga nchi kama Spain na Italy kuzitembelea kwani hizi nchi zinaleta watalii wengi sana nchini, nenda Zanzibar watalii wengi kutoka Spain, Italy na Ufaransa.

Rais zidi kuiweka nchi yetu karibu na Ulimwengu kwa manufaa ya Watanzania.
 
Ni royal tour ipi iliyofanyika mpaka hao watalii wengi watoke nchi za Spain na Italy.
 
Si alifanya alipoenda Brussels au?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom