Baada ya uteuzi wa Stagomena Tax, ni wazi Prof. Kitila Mkumbo anaenda na Maji

Wizara ya Viwanda na Biashara apart from Dr. Abdalla Kigoda, Na Dr. Chami ni wazi haijapata mtu sahihi. Hasa awamu ya tano na sita. Kwa awamu ya tano, Mh. Mwijage zile kelele zake za kuanziasha viwanda alionekana bora. ila baada ya hapo wizara haijapata mtu sahihi na makini kabisa.

Prof. Kitila uteuzi wake ulionekana bora ila ni wazi hakuna mtu ambbaye ameboronga sana katika wizara hiyo kama Kitila....

Uteuzi huu wa leo wa Tax kuwa Mbunge wa kuteuliwa, ni wazi nafasi ya Kitila inaenda kuchukuliwa. Na litakuwa jambo bora sana sana. Kitila kafail teribbly katila hiyo wizara. Hana jipya, kachoka wakati bado ni asubui na safari ndio kwanza inaanza.

Asante Mama kwa kuliona hilo.
Mbona alizundua tela la trekta lililotengenezwa VETA ?
 
Huko Brela ni utopolo mtupu, unapiga simu wiki nzima hakuna anayepokea,email hawajibu kusajiri kampuni ni takribani miezi 3 au 4 na hapo ukomae kweli.
 
Back
Top Bottom