Baada ya uteuzi wa Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais wa JMT, sasa naamini watu kama Makonda, Chalamila, Ole Sabaya hawana nafasi katika Serikali

Resurrection

Senior Member
Jun 8, 2020
193
250
Well nisingependa kuingia kwenye malumbano ya kisheria ambako siko kwangu, ila uzoefu unaonesha kuwa SIYO LAZIMA every incoming new president aanze au ateue baraza la mawaziri lake. It is rightly assumed kuwa kwenye uteuzi wa haya mabaraza ya mawaziri, Rais mara nyingi, kama sio zote, huwa akishauriana na Makamu wake , so it is assumed! Tusubiri tuone hiki mnachosema na kutafsiri nyie wasomi wa sheria.
Nina imani VP Mpango hatamuangusha Madame President. Raisi akiwa Safi na VP akiwa basi wale wachafu hawana tena nafasi ktk utawala wake time will tell
 
This is...

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
2,335
2,000
Maelezo yako yatabaki kuwa batili kwasababu Katiba imetaka hayo yafanyike endapo tu, Rais amepatikana kwa njia ya uchaguzi.
Kaisome Tena utaelewa.Na iko wazi hata kwa darasa la 7b kuelewa.
Wala haihitaji PhD kusoma na kuelewa.labda katiba uliyosoma si hii ya Tanzania ya 1977.
 
Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
8,742
2,000
Kwa kumteua Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni ishara muhimu ya kuonesha kuwa Madam President Samia Suluhu Hassani, atakuwa Rais wa namna gani.

Kumbukumbu zinaonesha kuwa Dkt. Philip I. Mpango ni mtu safi na mwadilifu.

Hana makando kando yanayoweza kuwa mjadala. Kama kuna makosa fulani fulani aliyatenda ktk kipindi chote cha uwaziri wa fedha, itakuwa ni kwa sababu ya nature ya uongozi wa boss wake aliyekuwa anafanya nae kazi Mwendazake Pombe.

Binafsi sioni kama ni Rais atakayefuata nyayo za Mwendazake Hayati Pombe ambaye kila mtu anajua sifa zake, kuwa, alikuwa Rais asiyeambilika wala kushaurika , mwoneaji, katili na hakuona shida kumwaga damu ya wakosoaji wake.

Ni wazi kabisa kuwa, Rais Samia Suluhu Hassan hawezi kuchukuliana na viongozi wenye tabia na hulka za mwendazake.

Viongozi kama DC wa Hai Ole Sabaya; DC wa Arumeru Jerry Muro; aliyekuwa RC wa DSM Paul Makonda a.k.a Daudi Albert Bashite; RC wa Mbeya Chalamila, RC Iringa Ally Hapi na wengine kibao wanaofanana na hawa, hawana chao tena.

Wanaodhani kuwa hawa wanaweza kupata nafasi ya uongozi ktk utawala wake, wafikiri mara mbili mbili.

Hata hizi nafasi za uongozi wanazoshikilia kwa sasa, ni suala la muda tu kuwa wataziacha na kurudi walikotoka..

Tukumbuke kuwa, siku zote mpanda ngazi huwa ni lazima ashuke.
Utabiri umetimia
 
Puncler

JF-Expert Member
Jul 17, 2017
527
1,000

Wataalam wenye macho makali, kongole nyingi kwako.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom