Makinikia Original
Member
- Aug 29, 2017
- 90
- 154
Siku hizi kadhaa kumezuka wimbi kubwa sana la wanachama watiifu wa chama cha Mapinduzi kutetea na kurejea katiba, sheria, kanuni na taratibu za nchi.
Hili limedhibitishwa na mpiga zumari wa Ikulu ndugu Musiba kumkandia RC Makonda kwa kutaka kuvunja sheria za kodi.
Mtegoni pia alinasa waziri wa fedha na hata Rais mwenyewe.
Kuna ile sheria ya matibabu ya wabunge, nasubiri sana itekelezwe kikamilifu kwa Tundu Lissu aliye Ubelgiji matibabuni.