Baada ya utapeli wa kuponya vilema, UKIMWI na miujiza kudharaulika: what next kwa Manabii wa kiroho?

Modibo

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
425
700
Ni ukweli usiopingika kwamba wanajiita mananii wa kipentekoste walikuja kwa kasi ya ajabu. Wakidai kuwa na kufufua watu, kuponya vilema, kuponya magonjwa kama UKIMWI, na kufanya miujiza mbalimbali kama kumuombea mtu mafanikio ya kimaisha nakadhalika nakadhalika.

In short walitafuta matatizo yanayowahusu watu wengi kama ndoa, kupata watoto na kupona maradhi na kwa njia hii wakawapata watu wengi. Siku zikapita hakuna alopona wala kufanikiwa.

Hii imepelekea watu wengi kuwadharau kwa utapeli. Nimekiwa najiuliza what next kwa manabii hawa matapeli hawa japo wengi wameshatajirika sana kwa kula pesa za watu masikini waliowaamini kuwa wanaweza kuwasaidia matatizo yao.
 
Mi naona kama huwa wanawaloga watu wakasali kwao maana hivi hivi mtu huwezi kwenda. Pia wakushakuloga unakuwa kama brainwashed yani ksma mzukule wao kazi ydo ni kukonvice watu waende kwa huyo nabii makinikia
 
Wakisema wamampinga Mkuu tu
watapata sadaka
au wakisema wanauwezo wa kumwondosha sadaka zitazidimaradufu...
maana wajinga ndio waliwao ,na wamejaa sana nchi hii kwa sasa..
Tz ina nyumbu wa kila dizaini kwa sasa,kiasi ukiweza mshawishi mmoja tu,watakuja 1000
 
Ni ukweli usiopingika kwamba wanajiita mananii wa kipentekoste walikuja kwa kasi ya ajabu. Wakidai kuwa na kufufua watu, kuponya vilema, kuponya magonjwa kama ukimwi, na kufanya miujiza mbalimbali kama kumuombea mtu mafanikio ya kimaisha nakadhalika nakadhalika. In short walitafuta matatizo yanayowahusu watu wengi kama ndoa, kupata watoto na kupona maradhi na kwa njia hii wakawapata watu wengi. Siku zikapita hakuna alopona wala kufanikiwa. Hii imepelekea watu wengi kuwadharau kwa utapeli. Nimekiwa najiuliza what next kwa manabii hawa matapeli hawa japo wengi wameshatajirika sana kwa kula pesa za watu masikini waliowaamini kuwa wanaweza kuwasaidia matatizo yao
Sasa wanapiga mpaka ramli kwa jina LA Yesu
 
Duh! Huogopi kushushuliwa na yule tapeli anaemwandama Makonda kila siku? maana huyo ndo kubwa la matapeli tz.
Kati ya yule jamaa na Makonda nani alianza kumchokoza mwenzake? Yule jamaa pamoja na utapeli wake unaosemekana ingawa hakuna ushahidi katika hilo sio level za makonda.

Yule jamaa sio level za makonda, makonda alijichanganya mwenyewe akaingia choo cha kike, naona sasa yuko japani sijui mara ujerumani. Yule jamaa sio wa mchezo, kama ni tapeli basi utapeli wake ni wa kimataifa maana nyomi nazoona huko japani, ujerumani za wazungu basi jamaa sio mchezo.
 
Ni ukweli usiopingika kwamba wanajiita mananii wa kipentekoste walikuja kwa kasi ya ajabu. Wakidai kuwa na kufufua watu, kuponya vilema, kuponya magonjwa kama ukimwi, na kufanya miujiza mbalimbali kama kumuombea mtu mafanikio ya kimaisha nakadhalika nakadhalika. In short walitafuta matatizo yanayowahusu watu wengi kama ndoa, kupata watoto na kupona maradhi na kwa njia hii wakawapata watu wengi. Siku zikapita hakuna alopona wala kufanikiwa. Hii imepelekea watu wengi kuwadharau kwa utapeli. Nimekiwa najiuliza what next kwa manabii hawa matapeli hawa japo wengi wameshatajirika sana kwa kula pesa za watu masikini waliowaamini kuwa wanaweza kuwasaidia matatizo yao
Mkuu uzi wako umejijibu wenyewe.
...matapeli....baada ya kutajirika... Kifuate nini tena wakati lengo lilishatimia?
Kwa kuwa "hazina" ya mbinu za wahalifu haiishi, watakuja na mfumo mwingine kutegemeana na "upepo" wa maisha kwa wakati husika unavumaje.
Pia na "wajinga ndiyo waliwao" wanaendelea kuzaliwa kila uchao. Hivyo wateja wa kutapeli wapo, tena wengi tu hawaishi.
 
Mwisho wa siku mambo ya dini na mungu ni utapeli tu. Mungu hayupo na mambo ya dini ni utapeli na wote wanaoyafanya ni matapeli tu.

Ubaya wa utapeli ni kua mwenzao akiwazidi ujanja matapeli wenzao huanza kumchongea na kumzushia kisa tu kawazidi ujanja kwenye kutapeli.

Dini ni utapeli. Mungu anaesemekana yupo hayupo na hajawahi kuwepo.
 
Utapeli upo. Lakini usione au kuwaza ya kuwa hayo matendo uliyo yasema hayawezekani. Uponyaji unawezekana , kufunguliwa n.k

Petro alipokuwa anaingia malangoni, alikutana na omba omba kilema , Petro hakuwa na fedha akamwambia nitazame, sina kitu ila nitakupa nilicho nacho. Inuka na utembee.

Yule kilema aliyekuwa mlemavu tangu kuzaliwa na alikuwa na miaka 40 alitembea. Lakini biblia inasema Mungu alifanya kupitia mkono wa Petro.

Kila kitu na muujiza yote waliyofanya si hao watumishi enzi zile za kuombea viziwi , vipofu n.k Ila ni Mungu aliye hai , anayekati patakatimu pa patakatifu ndiye aliyefanya kupitia mkono wa watu hao.

MUNGU huyu bado yupo Alpha na Omega, Maandiko yanasema Yesu ni yeye yule, jana ,leo na hata milele. Anafanya kazi kabisa na hashindwi neno hana gumu Ukisoma Yeremia 33;3. Na mwanzo anasema wazi wazi jambo gani hasiloliweza. Ukiwa nae kweli yote yanafanyika.

Sema kuna matapel wa roho wameingia pia humu, ndio maana hata maandiko yanasema watakuja manabiii wa uongo.

Kama haupo sure na yupi ni wa kweli na yupi ni wa uongo usionyesheee watu vidole, unaweza kuwa unakosea sana. Ukisoma 1Timotheo utaona wanasema Isakandra walikabidhiwa kwa shetani ili awafundishe adabu maaana wanamtukana Mungu......tuwe makini kuwajua mambo ya rohoni ufichuliwa rohoni hapa ndio itakuja kuina umuhimu wa msaidizi ROHOMTAKATIFU
 
Nionyeshe kilema authentic aliyewahi kuponywa kwa kuombewa na hawa manabii wako
 
Nionyeshe kilema authentic aliyewahi kuponywa kwa kuombewa na hawa manabii wako
Njia za kuelewa kitu , soma, chambua na tafakari.

Rudia kusoma tena harafu niulize. SORY sijaku-underestimate.

Hapa sija side nan mkweli na nani muongo , nachoweza kusema ni kuwa Yote hayo yanawezekana kwa Mkono wa Mungu.

Kama una shaka na huweza Mungu ni tatizo kubwa, lakini biblia inassma wazi wazi. Maneno yangu yakindani yenu OMBENI LOLOTE Kwa jina langu nami nitalifanya, ukisoma kweny Ayubu utaona maneno haya NA HUUU NDIO UJASILI TULIONAO(imani) TUKIOMBA SAWA SAWA NA MAPENZI YAKE TUNAPOKEA.
Hata wewe MUNGU anaweza kukutumia ila fake wapo wengi sana. UNGEKUWA HUKU NINAPOISHI HUONI UTARATIBU ULIVYO NINGEWEZA KUKUSHUHUDIA FULANI NA FULANI WALIKUWA HIVI NA HIVI, Sema nipo chimbo na mahal kwenyewe ni local sana na watu wenye shida na mambo mbalmbal wapo huku
 
Back
Top Bottom