Baada ya ushuhuda wa Diamond, jamaa yangu aapa kumkataza mkewe kwenda gym!

Kuna mazingira ukimweka karibu mwanamke lazima uumle tu, hata kama anamisimamo kama alshabab.....

Wengine hujikuta tayar washaliwa, na hakuwa na lengo la ku-cheat....

Juzi nilokuja Dar, kuna mke wa mtu nilikuja mpa mafunzo flani..,
Nilimkuta mwenyewe nyumbani, mumewe yuko kazini....

Ndani ya masaa mawili, mtu macho yamelegea, haelewi wala hasikii nachomfundisha.....
Ulimlaaa au

Ova
 
Sasa mtu kama Zola D anamuachaje mkeo maana kwa ile misuli na pumzi lazma mkeo alete shobo akinyanyulia juu anabebwa effortlessly na mikono iliokakamaa kiume, nahisi hata mwarabu fighter nae alipiga pale kwa Zari ila Diamond hajasema tu.
 
Back
Top Bottom