Baada ya ushindi wa Stars jana, tunaitoa kwenye list ya wanaoliaibisha taifa. Aliyebaki sasa ni Utopolo tu

Utopologist

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
987
2,487
Taifa Stars jana wamefanikiwa kujitoa kwenye list ya kikundi cha wahuni wanaoliaibisha taifa.

Aliyebaki sasa ni utopolo tu, wahuni wasio na msaada wowote kwa taifa hata wakibebwaje.

Wadau hivi mnaonaje, tuwapige ban hawa misukule kuliwakilisha taifa? Maana wanaleta aibu na fedheha tu.

Kwenu studio
 
Wanaamini kushindwa kwao club bingwa kulisababishwa na kukosekana kwa mildfielder wao Aucho katika michezo yote miwili
 
Taifa Stars jana wamefanikiwa kujitoa kwenye list ya kikundi cha wahuni wanaoliaibisha taifa.

Aliyebaki sasa ni utopolo tu, wahuni wasio na msaada wowote kwa taifa hata wakibebwaje.

Wadau hivi mnaonaje, tuwapige ban hawa misukule kuliwakilisha taifa? Maana wanaleta aibu na fedheha tu.

Kwenu studio
Yogo on the beat
 
Uto hawabebeki wapigwe life ban ndio dawa yao
 
Taifa Stars jana wamefanikiwa kujitoa kwenye list ya kikundi cha wahuni wanaoliaibisha taifa.

Aliyebaki sasa ni utopolo tu, wahuni wasio na msaada wowote kwa taifa hata wakibebwaje.

Wadau hivi mnaonaje, tuwapige ban hawa misukule kuliwakilisha taifa? Maana wanaleta aibu na fedheha tu.

Kwenu studio
Sasa kama wewe mwenyewe ni Utopologist, tukusaidieje?
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom