Baada ya upinzani kuchukua nchi Zambia

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Wachina wamewapandishia mshahara wafanyakazi kwenye makaa ya mawe kwa asilimia 80....wamefanya hili bila hata ya tamko lolote toka serikalini
source DW swahili
Vipi Tanzania na CCM yetu?
 
Wachina wamewapandishia mshahara wafanyakazi kwenye makaa ya mawe kwa asilimia 80....wamefanya hili bila hata ya tamko lolote toka upinzani...
source DW swahili
Vipi Tanzania na ccm yetu?

Hizo ndiyo direct benefits za kuchagua wanaopigania haki zenu!!!! Na bado Satta hajatamka kitu hapo!
 
Good!! I like that! Ngoja tuendelee kuwatoa tongo tongo akina Rejao, riz1 nk hakika tutawakaribisha bila kujali usumbufu wanaotupatia kuelekea kwenye uhuru wa kweli.
 
Good!! I like that! Ngoja tuendelee kuwatoa tongo tongo akina Rejao, riz1 nk hakika tutawakaribisha bila kujali usumbufu wanaotupatia kuelekea kwenye uhuru wa kweli.
upinzani usingeshika nchi watu wangeendelea kuumia tu hadi sasa hivi
 
Hizo ndiyo direct benefits za kuchagua wanaopigania haki zenu!!!! Na bado Satta hajatamka kitu hapo!

Tofauti kati ya Satta na wapinzani wetu hapa ni kama mlima na kichuguu! Hawajui hata wanachokipigania.
 
Mbopo we unakaa wapi? Huwa uansikiliza sera au unasubiri kusimuliwa!wapinzani wa hapa sera zao ni zuri! mizizi ya ccm isiyokuwa na mbolea ishaleta madhara makubwa sana, hadi uwepo wao nadhani unasuppotiwa na wezi wa nje wanaofaidika na mali asili zetu, lakini watu wenye akili wanajua nini maana ya kumiliki mali na manufaa yake!

Look at Zambians, inakuwaje wachina wenyewe wanapandisha mishahara, na je wamewanyonya kiasi gani wazambia? huu ujinga unaongozwa na kutukuzwa na serikali, nenda nyamongo, nenda Geita, Bulyankulu, nenda Tanzania one kule Arusha, nenda Mwadui uone wanachovuna na wanachobakiza na kila kitu serikali inajua.

Haya madini yakiishi hutoona neti wa msaada wa millenia usd 700m, sisi lazima tubadilike, lazima tubadilishe cgama na system kwa ujumla make haya mambo tukiyaacha hatutafika.
 
Back
Top Bottom