rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 15,163
- 20,094
Huyo kitenge anawakilisha kundi kubwa la watangazaji makanjanja wanashindwa kubalance story wanatengeneza umbea halafu wanawajaza pumba mashabikiNimechaka jana, ndo nikajua kua ushabiki unaondoa akili kabsa, Juzi Yeye baada ya Senzo kujiuzulu aliandika sababu zilizosababisha ajiuzuru Simba. Na sababu zote anasema Simba wanaendesha klabu bila ueledi. Afu anakuja kumuhoji Manara anamuuliza Kwa nini Senzo ameondoka? Manara akamjibu we si unazijua sababu na uliandika jana kwenye page yako. Je wewe zile sababu alikuambia Senzo akajibu hapana ni watu tu wanaongea.
Ushabiki umeondoka na weledi wa Kitenge