Baada ya ukweli kuhusu sakata la Bernard Morrison 'Kuvuja', huenda Yanga SC 'ikanyang'anywa' alama zake na viongozi wake kufungwa na kukamatwa

Pole sana
Ulichokitaka hakitokei 😂 😂 😂

Kile Kilichotokea na Wewe unacho tofauti na nilichokisema Mimi nakuomba ukiweke au utuwekee hapa tafadhali. Na Wewe pia unaamini Uwongo?
 
Mwanaume kuwa mzushi ni aibu Sana. Najua bila uzushi huwezi kuishi mjini, tunga jingine ukapige hela za mpumbavu mvalishwa kanga
 
Huu 'Uzushi' wangu wa Kutukuka ndiyo umemfanya aliyekuleta duniani anipende zaidi Mimi kuliko Yule aliyepandikiza Mbegu za uwepo wako hapa.
 
Hahahaa! Wapenda hela za wanaume wenzao wote hawana Malinda Tena wanatabia za kukimbilia kutukana Kama wanawake so sikushangai.
 
Kuna implications zake iwapo ule wa miezi sita haukuwa mkataba halali. Kwanza, itakuwa sahihi kusema kwamba Simba walifanya mazungumzo kisha kumsajili mchezaji aliyekuwa huru (maana hakuwa na mkataba wa miezi sita). Pili, itakuwa sahihi kusema kwambaYanga katika mkataba wa miaka miwili waliouongeza (kama upo), watakuwa walimsainisha mkataba mpya kwa mara ya kwanza (maana hakuwa na mkataba wa miezi sita). Sasa hapo wote Simba na Yanga wamemsajili Morrison kwa mara ya kwanza tangu atue nchi, ilitakuja jambo kuhusu dirisha la usajili; je, ni nani amemsajili ndani ya dirisha la usajili, Yanga au Simba?
Kweli Yanga kiboko.., wanaweza kufungua dirisha la usajili na kuingiza mchezaji hata baada ya dirisha kufungwa!!!!!!
Akili hizi utazikuta kwa mambumbumbu fc tuu
 
Kuna implications zake iwapo ule wa miezi sita haukuwa mkataba halali. Kwanza, itakuwa sahihi kusema kwamba Simba walifanya mazungumzo kisha kumsajili mchezaji aliyekuwa huru (maana hakuwa na mkataba wa miezi sita). Pili, itakuwa sahihi kusema kwambaYanga katika mkataba wa miaka miwili waliouongeza (kama upo), watakuwa walimsainisha mkataba mpya kwa mara ya kwanza (maana hakuwa na mkataba wa miezi sita). Sasa hapo wote Simba na Yanga wamemsajili Morrison kwa mara ya kwanza tangu atue nchi, ilitakuja jambo kuhusu dirisha la usajili; je, ni nani amemsajili ndani ya dirisha la usajili, Yanga au Simba?
Nani atam release?
 
Back
Top Bottom