Baada ya ukimya, P-Funk afuta post aliyomuomba Diamond kumsaporti Rapcha

Majani is really a fatuous person. Tell him to stop forcing things to happen. If Raptcha was born to be a king of hip hop, nothing will preclude his success.
 
Hiyo ngoma imekua posted kweny wasafi media...mnataka airtime gani? Kila msanii Akiomba kazi yake ipostiwe na Mond itakuaje? WCB wakae wamuogope Rapcha kwa kipi?
Binafsi hiyo ngoma nimeijulia kweny page ya wasafi Instagram..nikaenda youtube

Dogo akaze tu atafika mbali...lakin haya maswala ya kumtak Diamond apost ili dogo kazi yale ifike ni ujinga...
Majani kamtaka aposti au shabiki ndio kataka apostiwe majani kafanya kama daraja tu la kupitishia maoni ya shabiki
 
H-Baba kaanza mziki na akajulikana kabla ya Diamond , ni aibu Leo kuwa chawa wa mwanafunzi wa Diamond.... Yani unakuwa official third party....!!! Mwijaku ndo usiseme kabisa hata kama bifu ndo zinakuza mziki Ila ni kama wamechochora
Na baba levo muongezee hapo
 
Nyimbo kali na imesimama mule mule, kajua kuwakalisha kubdi fulani la taarabu na qaswida
 
Back
Top Bottom