Baada ya ukimya, P-Funk afuta post aliyomuomba Diamond kumsaporti Rapcha

Sio thinking error? 😂😂 sema kanywe maji mkuu upoze kichwa, hii mijadala sio ya kutilia akili nyingi sana kama kutatua equations, just relax ,
Kwahiyo wakiitwa watu wenye akili nawe utatoka mbele wakati ulichoandika kinaonesha wazi jinsi gani ulivyo juha!! Pamoja na kujichekesha chekesha kwako bado unaonekana stupid tu kwa sababu Diamond hana wajibu wa ku-post ngoma za watu kama unavyolia lia hapa!!
 
heri P-funk angekaa kiya tu, watu naona wamekomaa eti imepostiwa wasafi 😂 😂 ni kama vile mtu hajaja msibani yeye katuma mwakilishi.
Acha unafiki wako wa kujifanya eti angekaa kimya kwa sababu ungeona huo umuhimu na wewe usingetuletea ujinga wako hapa jamvini!!!
 
Sasa mkuu kuna kumuomba na kumtaka mtu... hiyo post ya pfunk wanamtaka Diamond atoe support kwa Rapcha

Mkuu wewe wabongo huwajui omba yao ? unakuta mtu anataka akupige mzinga wa pesa kwanza anaanza na kukwambia mbona siku hizi umenitenga sio vizuri hivyo wakati unajitetea anakulipua na kizinga yani huwez ruka, ndio jamii yetu ilivyo inabidi kuish nao tu mkuu.
 
Ndio ukubwa huo,hapo ndipo utakapo gundua wanaotaka kujilinganisha nae ni wadogo.
 
Sehemu yoyote yenye ridhiki ina utata sana. Mziki kama biashara nyingine ina utata pia, kama vile fitina, ndumba, wivu, majungu nk!
 
Back
Top Bottom