Baada ya Uharibifu kwenye Sekta ya Madini, Marekebisho yanakuja

Magufuli alifanya kazi nzuri sana kwenye madini.
Wajinga wengi ndivyo wanavyoamini. Ila ukiwauliza alifanya nini, hawana maelezo. Waliamini yale manebo yake ya uwongo.

Jambo pekee alilolifanya zuri kwenye sejta ya madini, ni kuweka masoko ya kununuloa dhahabu.
 
Back
Top Bottom